manchester united yaanza kwa ushindi wa 2-1 ila... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

manchester united yaanza kwa ushindi wa 2-1 ila...

Discussion in 'Sports' started by white wizard, Aug 14, 2011.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Aug 14, 2011
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  man utd yaanza ligi kwa ushindi kiduchu kwa kuifunga w-brom,bao 2-1 ila lile jinamizi la golikipa bao linaendelea kwa michomo hatari anatoa! Ile ya kipuuzi ndio anafungwa!ina maana inawezekana ile huwa anabahatisha?au tumuombe vand saar abatilishe uamuzi wa kustaafu kwani kwa staili hii,atatugharimu sana.na sisi ni wazee wa mataji.
   
 2. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #2
  Aug 14, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  No comment from me; Arsenal fan; yangu yananishinda, yako siyawezi.
   
 3. N

  NCHABIRONDA JF-Expert Member

  #3
  Aug 14, 2011
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 238
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br />
  Nakubaliana na wewe@100% hata namba 6 hatuna mtu wakuaminika.
   
Loading...