Yanga kucheza na El Hilal na El Mereikh, Kiiza ndani ya nyumba . . .

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Mabingwa wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati, Yanga SC ya Tanzania wamealikwa kucheza mechi za kirafiki na vigogo wa Sudan ya Kaskazin, El Hilal na El Mereikh ktk ziara ya siku tano nchini Sudan Kaskazin, ambapo wataondoka nchini August 5 kuelekea Khartoum.
Na wakati huo huo utata wa mshambuliaji Hamis Kiiza unazikwa rasmi leo ambapo atatua nchini mchana wa leo tayari kuanza mazoezi

Kwa habari zaidi, soma HAPA

Ata
ukisoma nyakati hapo nyuma sendeu aliana na -ata-alafu akakiro mawasiliano hafifu
ila ahsane kwa ata yako tusubiri msijekosa neno hisan

Mkuu CPU vipi? Kiiza ashakuja? Kuhusu mechi mtakazocheza Sudan lazima mchezee kichapo.

Mkuu
Ushamuona Kiiza eeeh? Yaani mnavyoiwangia Yanga, hadi Sudani, heheheheheheh . . . . dua la kuku

Ata
ukisoma nyakati hapo nyuma sendeu aliana na -ata-alafu akakiro mawasiliano hafifu
ila ahsane kwa ata yako tusubiri msijekosa neno hisan

Kaka, umeamini nilichoandika sasa?

Mkuu
Ushamuona Kiiza eeeh? Yaani mnavyoiwangia Yanga, hadi Sudani, heheheheheheh . . . . dua la kuku

Mkuu Kiiza nimemuona, lakini mbona husemi matokeo, kichapo hadi TFF wameogopa kupeleka timu ya Taifa. Sisi tuliconcentrate na tamasha tukapigwa moja jana.

Mkuu Ng'otimbebedzu mkono unamanisha walifungwa matano au walipigana uwanjani? Kama walifungwa tano ni balaa, sisi kila siku tunawambia mechi za kimataifa hawaziwezi.

Kumbe walipigwa tatu tena, jamaa walichofanya ni kucopy na kupaste.

Back
Top Bottom