Tff wakiri kutafuna pesa za kipa bora yaw berko wa yanga!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Shame on you boniface ,tenga and your company
kwa bila aibu bw huyu bnoniface wa tff anakiri kuhusika na kutafunwa kwa pesa ya ubingwa ya yanga na mchezaji bora wa upande wa goli kipa ambae alikuwa yaw berko..katika hali isiyotarajiwa anasema cheki ilichukuliwa na kiongozi wa yanga
alafu jamaa akawa ameenda ghana ikarudishwa tangu june..jamani jamani baada ya hapo akukuwa na anaeifwatilia
na wala sio kazi yao k uuliza kama berko amerudi kutoka ghana..bila aibu anasema unajua utaratibu wa hela una mambo yake kama wahusika awapo tunaweza kutumia kwa muda huo then tuna replace mhusika akitokea

kuhusu swala la pesa za ubingwa wa yanga anadai kwa kweli hata yeye anashindwa kujua ila anaomba atauliza kwa accountant wa tff ajue kinachoendelea unajua swala la hela lina taratibu ndefu uwezi iingiziwa pesa zikatoka ghafla

mwisho akasema yaw berko aje jumanne pale karume akachukue cheki yake...bila aibu na udhalimu boniface mnajiaibisha sana tulihisi utapeli ni wakati wa ndolanga na wambura tu sasa hata huyo tenga atuna imani nae tena kabisa kabisa

hivi mnaweza elewa ligi inaanza lini na hela tangu ziingie azijatolewa kwa wahusika ziko account ya nani??
 
Nimesikiliza hiki kipindi cha michezo radio one nikaamaua kupaki baada ya kujihisi kichefuchefu
 
Yaani sijui baada ya hatari nini naona kila sehemuwamepitiliza hatari mkuu sijaamini tenga na wenzake wanaweza kuendeleza uchafu wa ndolanga na wambura
 
Binafsi sina ushabiki kwa club hizi lkn nilisikia hiyo issue kupitia radio tofauti. Tatizo lenu washabiki wa timu hizi mbili mliishazoea malumbano kiasi kwamba hamtafakari hata kidogo! Jamaa alieleza vizuri walitoa cheque yenye jina la huyo kipa, kipa mwenyewe hakuwepo alikuwa Ghana, kiongozi mmoja wa yanga akataka kuchukua hela hiyo bank lkn ikagoma kwa sbb cheque ilikuwa kwa jina la mchezaji siyo club. Badala mjiulize huyo kiongozi alitaka kuzipeleka wapi hela za kipa, mnazusha eti TFF wamezila! Kama wangekuwa na nia ya kuzila wangeandika cheque?? Yani mnataka TFF ndiyo imtafute mchezaji ili iweje??!!!
 
Back
Top Bottom