Timu ambayo ingekuwa na hii front line ingetisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Timu ambayo ingekuwa na hii front line ingetisha.

Discussion in 'Sports' started by Bujibuji, May 12, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  7. Luis Figo
  9. Ronaldo de Lima
  10. Messi
  11. Christiano Ronaldo.
   
 2. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  wale wa kriket na michezo mingine mnakaribishwa kutaja front line zenu.
   
 3. NG'OTIMBEBEDZU

  NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Ingedhibitiwa na backline hii:

  2. Cafu 4. Mathias Sammer 5. Franco Bares 3.Paolo Maldini

  6.Fernando Redondo.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,302
  Likes Received: 22,103
  Trophy Points: 280
  Redondo alikuwa mkali sana alipokuwa Real Madrid, alipofika ltaly wakamvunjavunja, kweli waitaliano hawafai.
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Wachezaji wanne kati ya watano hapo wamechezea AC Milan
   
 6. dazu

  dazu JF-Expert Member

  #6
  May 28, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 365
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  Hapana, beki ya kuidhibiti ni hii

  2. David Mwakalebela, 3. Twaha Hamidu 4. Kassongo Athumani 5. Salum Kabunda 6. Issa Athumani
   
 7. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mpira hauko hivyo jamani. huwezi imagini hiyo timu yaweza fungwa hata na newcastle
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Isingekuwa na mafanikio, maana karibu wote walikuwa na mchezo unaofanana. Timu inahitaji mchango wa kila mchezaji - acheze tofauti ili mwingine anufaike na uchezaji wa mwenzake. Umemsikia Vidic juzi? Analalamika kuwa ilikuwa vigumu kuwakaba Barca kwa kuwa hawakucheza na mshambuliaji yeyote.
   
 9. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hiyo number 8 ulisahau.
   
 10. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,139
  Trophy Points: 280
  kipa awe Juma Pondamali
   
 11. M

  Maengo JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnasahau kuwa fahari wawili hawakai zz moja? C ajab wacngefanya kitu! Lakin jamaa wanajua....!
   
 12. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 600
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wangejiamin kupitakiasi wangukua wanafungwa magoli ya kzembe sana
   
 13. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Athman Mambosasa
   
Loading...