Hatimaye Jose Monrinho akiri Barcelona ni noma

white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
8,314
13,279
kocha wa real madrid jose amekili kuwa barca ni noma! baada ya kupata kipigo cha mabao 3-2,ktk mechi ya marudiano ya super cup.Japo madrid waliendeleza ule ubabe wao wa kiatu mtu;MESI bado anaendelea kuwatesa kwani zikiwa zimebaki dk kama tano mpira kwisha akapiga bao hilo kweli mesi noma.Angalau na FABRIGAS ameanza kushika makombe ambayo kwake ulikuwa msamiati.upende usipende hawa barca ni noma jamani.

• Thanks
Reactions: Aza
Barca ni timu kama timu nyingine tu bro! Hata kama huipendi Real lakini gepu la umiliki na kufunga magoli imepunguzwa sana! kwa vile umeshinda nami nakupongeza ila nakuambia iangalie sana Real.

Barca ni timu kama timu nyingine tu bro! Hata kama huipendi Real lakini gepu la umiliki na kufunga magoli imepunguzwa sana! kwa vile umeshinda nami nakupongeza ila nakuambia iangalie sana Real.

Acha ushabiki Bro! Barca ni noma hakuna timu duniani itaifunga Barca labda kwa kutaka tu wenyewe. Check pass ya Fabrigas, niliipenda sana japo walitufuna UEFA

Mwaka huu patachimbika huko spain!! Barca wako njema lakini Madrid wanakuja kwa kasi kwenye kiwango. Kwa hiyo, tutegemee uhondo zaidi.

barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.

victor valdes=mbowe
mesi=zito
alves=msigwa
iniesta=mnyika
xavi=mdee
fabregas=mbunge ajae igunga
puyol=ndesamburo
pique=sugu
abidal=wenje
mascherano=lema
alcantara=mtema
guardiola=slaa
wadau endeleeni kutaja kikosi.

Wala si chel-sick,madrid ndo the next phantom that will be haunting them days and nights!

barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.

victor valdes=mbowe
mesi=zito
alves=msigwa
iniesta=mnyika
xavi=mdee
fabregas=mbunge ajae igunga
puyol=ndesamburo
pique=sugu
abidal=wenje
mascherano=lema
alcantara=mtema
guardiola=slaa
wadau endeleeni kutaja kikosi.

Hapa watu wanazungumzia mpira wewe waleta siasa zako.

kocha wa real madrid jose amekili kuwa barca ni noma! baada ya kupata kipigo cha mabao 3-2,ktk mechi ya marudiano ya super cup.Japo madrid waliendeleza ule ubabe wao wa kiatu mtu;MESI bado anaendelea kuwatesa kwani zikiwa zimebaki dk kama tano mpira kwisha akapiga bao hilo kweli mesi noma.Angalau na FABRIGAS ameanza kushika makombe ambayo kwake ulikuwa msamiati.upende usipende hawa barca ni noma jamani.

Kwa kifupi madrid walinifurahisha sana kwani walitandaza soka sana tofauti na mwaka jana.
msimu huu wamepiga hatua kubwa mno.

cesc alipotea njia tu,now kaudi panapomuhusu na kaona ss
chezea barca

barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.

victor valdes=mbowe

mesi=zito

alves=msigwa

iniesta=mnyika

xavi=mdee

fabregas=mbunge ajae igunga

puyol=ndesamburo

pique=sugu

abidal=wenje

mascherano=lema

alcantara=mtema

guardiola=slaa

wadau endeleeni kutaja kikosi.

Asante mdau,nmeikubali list yako.

Kama Madrid hii iliyofanya mazoezi na usajili wa kufuru imeishindwa Barca hii iliyokuwa na muda mfupi wamazoezi na Fabragas bado hajachanganya sijui kama nafasi ya kuifunga Barca kama hii itajirudia.Halafu kabla Morinho hajaja Real mechi za Barca vs real hazikua na vurugu za kishamba.Simchukii wala siichukii Real lakini nachukia vurugu na matusi.
Barca ni timu kama timu nyingine tu bro! Hata kama huipendi Real lakini gepu la umiliki na kufunga magoli imepunguzwa sana! kwa vile umeshinda nami nakupongeza ila nakuambia iangalie sana Real.

barca ni kama chadema wanakaba pamoja na kushambulia kwa pamoja.

victor valdes=mbowe
mesi=zito
alves=msigwa
iniesta=mnyika
xavi=mdee
fabregas=mbunge ajae igunga
puyol=ndesamburo
pique=sugu
abidal=wenje
mascherano=lema
alcantara=mtema
guardiola=slaa
wadau endeleeni kutaja kikosi.

CCM itawafanya muuwe team maana Igunga hawawachii, piga ua, Na Rostam kishachagua mtu wa kumrithi na kaahidi kumfanyia kampeni, hapo sasa, patamu kweli.

Back
Top Bottom