Msaada - nahitaji kununua kanda/CD za mechi mbalimbali

Tisha-TOTO

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
1,175
604
Wapendwa naomba msaada wenu.
Naomba kujua wapi hapa Dar wanauza kanda/CD za mechi mbalimbali za futiboli zilizorekodiwa??

Kwa mfano:
Yanga v Simba
Real Madrid v Barca
nk.
 
Back
Top Bottom