Cloud FM Pb wajibaraguza kusoma 'hili game'...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,320
Unazi hadi kazini?
Hawa kina Hando wa Clouds Pb ni washabiki nguli wa Man U. Huwa wanapata kigugumizi sana Man U wakichapwa. Sasa leo Hando kajibaraguuuuuuza, mwishoni anazuga eti kwa sababu ambazo ziko nje ya uwezi wake, hili game halikuwepo leo. Ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.............. Mtajiju!

Chelsea mtegeshewa kibra... shindweni sasa..
 
holy crap
 
subiria...kwani ManU kabondwa tena??ligi au Uefa,coz kwenye ligi kabondwa na Arsenal
 
Back
Top Bottom