Kufungwa afungwe Real Madrid kwanini mashabiki wa Man U wachukie?

Kundasenyi

Member
Apr 11, 2011
58
2
Juzi kwenye mech ya uefa kati ya realmadrid na bacelona, nilishuhudia mashabiki wa man u wakiwaka kwa hasira mno baada ya madrid kufungwa kuliko hata wapenzi wa madrid kwanini???
 
Wanaujua mziki wa barca, walitamin wakutane RM ili wasinde mpango umegeuka wanaaza kuugulia maumivu. Wanajua hakuna wakumkaba Messi
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Mkuu tatizo la watu wengine hawataki kukubali kuwa anaejua anabaki kuwa anajua tu,Barca wanajua cku zote na ndio maana cku wanacheza mpira wa kutafuta magoli kwa style ya kuburudisha,tofauti RM ambao wanacheza timu nzima nyuma ya mstari wa kati.
 
Maumivi ya kichwa uanza polepole..labda miujiza ndo itatuokoa..
 
barca cjui wananini,me nashangaa,mechi ya arsenal walichakachua,ya real madrid wamechakachua,unakumbuka mwaka jana na chelsea, pia walichakachua,ni timu ya UEFA hiyo hawana lolotee!
 
Maumivi ya kichwa uanza polepole..labda miujiza ndo itatuokoa..

hilo ni dhihirisho wewe ni mmoja wa wale wenye maumivu.... Kwa mtazamo wangu man ya msimu ulio pita ilikuwa ni nzuri kuliko ya msimu huu, na barc ya msimu uliopita ilikuwa ni nzuri ilamsimu huu imekuwa bora zaidi, sasa je? endapo wakikutana man u wakohoa? tuache ushabiki embu tuutazame ukweli ulipo
 
Juzi kwenye mech ya uefa kati ya realmadrid na bacelona, nilishuhudia mashabiki wa man u wakiwaka kwa hasira mno baada ya madrid kufungwa kuliko hata wapenzi wa madrid kwanini???

Mwehu! nani kakwambia Man tunawaogopa Barca kwa taarifa yako kombe tunachukua.
 
Juzi kwenye mech ya uefa kati ya realmadrid na bacelona, nilishuhudia mashabiki wa man u wakiwaka kwa hasira mno baada ya madrid kufungwa kuliko hata wapenzi wa madrid kwanini???

Mashabiki wa Arsenal uwa mnapenda sana kupiga domo!
 
Man u tupo vizuri,its just a case of time tu utatambua hilo,subiri final!
 
Hah! hah! hah! wenyewe wanajua ukweli ndio maana wamechukia Real kufungwa!

Kwani Madrid ni vibonde? Tuache ushabiki kwani hizo red cards za Barcelona mnaziona za kawaida? Chelsea, Asernal sasa Madrid. Sawa ni timu nzuri lakini kwa nini wanatumia mchezo wa fitna kama mechi za mchangani?
 
Hahahahahahahahaah. Barca ni timu ya kawaida tu kama nyingine. Itafungwa tu. Ila naona hii thread imeanzishwa na shabiki wa Arsenal ili kujifariji. Poleni sana Arsenali
 
Kwani man u na barc wamekutana mara ngapi na matokeo yakoje... Anaejua atujuze, japo mpira wa sasa hivi hautegemei maajabu ya historia
 
Another deluded fan who is driven by hate...eti mashabiki wengi wa man utd kushinda ata wa Madrid wamechukia, hivi wewe kweli uko serious?
 
Played 10, won 3, lost 3, drawn 4, goals for 14, goals against 17

Individual results with date, location & attendance:

07/03/84 - Nou Camp - Barcelona 2 - 0 United - 70,000 (A disappointing night from what I've been told)

21/03/84 - Old Trafford - United 3 - 0 Barcelona - 58,574 (Robobo leading a storming fight back from the first leg, United winning 3-2 on aggregate)

15/05/91 - Feyenoord Stadion - United 2 - 1 Barcelona - 50,000 (Mark Hughes' night, two excellent goals)

19/10/94 - Old Trafford - United 2 - 2 Barcelona - 40,064 (Mark Hughes and Lee Sharpe on target)

02/11/94 - Nou Camp - Barcelona 4 - 0 United - 114,273 (stung by the foreigners rule in the Champions League that season)

16/09/98 - Old Trafford - United 3 - 3 Barcelona - 53,601 (One of the finest games I've ever witnessed)

25/11/98 - Nou Camp - Barcelona 3 - 3 United - 67,648 (Same as above)

23/04/08 - Nou Camp - Barcelona 0 - 0 United - 95,949 (A night of containment as we played for the draw)

29/04/08 - Old Trafford - United 1 - 0 Barcelona - 75,061 (Scholesey's rocket settling the tie 1-0 on aggregate)

27/05/09 - Stadio Olimpico - United 0 - 2 Barcelona - 62,467 (A masterclass from Xavi and Iniesta won the game for them)

Never underestimate the predictability of stupidity
 
tatizo si real madrid kufungwa..tatizo ni amefungwaje?magoli ya messi hayana utata ni safi kabisa.lakini yamepatikana baada ya pepe kutolewa kwa red card.jose mourinho ana historia ya kucheza game 11 na barcelona kati ya hizo 7 amemaliza timu yake ikiwa pungufu.kwa taarifa c mashibiki waliokasirika,hata wachezaji wa man united walikasirika kufikia kutweet ktk mitandao yako.rio fernand anasema hajawahi kuona ujinga kama aliofanya dani alves mpka pepe akapewa red card.alitolewa akiwa ktk machela baada ya dk 3 akarudi uwanjani kucheza kama vile hakufanyiwa rafu.
Michael owen akitweet alisema anadhani pedro aliona aibu sana baada ya kutizama reply ya mambo ya kujiangusha aliyokuwa akifanya.
Jambo lingine ni kwamba kuna shabiki wa mpira na mpenzi wa mpira.shabiki ni yule anayetizama timu anayoishabikia tu na mpenzi ni yule anayetizama mechi yoyote hata kama ni ya mchangani.so watu wengi waliotoa maoni yao hasa wakiwa ni wapenzi wa mpira hawapendezwi na tabia ya wachezaji wa barcelona kukosa fairness.
 
Played 10, won 3, lost 3, drawn 4, goals for 14, goals against 17

Individual results with date, location & attendance:

07/03/84 - Nou Camp - Barcelona 2 - 0 United - 70,000 (A disappointing night from what I've been told)

21/03/84 - Old Trafford - United 3 - 0 Barcelona - 58,574 (Robobo leading a storming fight back from the first leg, United winning 3-2 on aggregate)

15/05/91 - Feyenoord Stadion - United 2 - 1 Barcelona - 50,000 (Mark Hughes' night, two excellent goals)

19/10/94 - Old Trafford - United 2 - 2 Barcelona - 40,064 (Mark Hughes and Lee Sharpe on target)

02/11/94 - Nou Camp - Barcelona 4 - 0 United - 114,273 (stung by the foreigners rule in the Champions League that season)

16/09/98 - Old Trafford - United 3 - 3 Barcelona - 53,601 (One of the finest games I've ever witnessed)

25/11/98 - Nou Camp - Barcelona 3 - 3 United - 67,648 (Same as above)

23/04/08 - Nou Camp - Barcelona 0 - 0 United - 95,949 (A night of containment as we played for the draw)

29/04/08 - Old Trafford - United 1 - 0 Barcelona - 75,061 (Scholesey's rocket settling the tie 1-0 on aggregate)

27/05/09 - Stadio Olimpico - United 0 - 2 Barcelona - 62,467 (A masterclass from Xavi and Iniesta won the game for them)

Never underestimate the predictability of stupidity

thanx kwa kutujuza
 
Hahahahahahahahaah. Barca ni timu ya kawaida tu kama nyingine. Itafungwa tu. Ila naona hii thread imeanzishwa na shabiki wa Arsenal ili kujifariji. Poleni sana Arsenali

kwa nini unashuku ni shabiki wa arsenal aliyeanzisha hii thread, na sio wa man city!!tehtehe..... kusema ukweli arsenal ingekuwa na defence nzuri na striker kama tevez basi wao ndio timu pekee ingeweza kuwazamisha barca.. kutokana na aina ya mchezo wanaocheza..
 
Sasa wewe unaishi kusadikika, hata West ham ingekuwa kama unavyosadiki ingeifunga Barca.
 
Back
Top Bottom