Bilionea club in Malindi Kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bilionea club in Malindi Kenya

Discussion in 'Sports' started by kamikaze, Apr 29, 2011.

 1. kamikaze

  kamikaze JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 60
  Wana jf Natumai wote ni wazima, Kuna taarifa kuwa kuna bilionea mmoja wa itali amepanga kujenga Bilionea club malindi Kenya. Ujenzi huo utagharimu U$D 700,000,000 na ujenzi wa club hiyo utachukua miaka miwili, Hivi sasa warembo kumi na nne wamepelekwa Itali kusomea jinsi ya kutoa service kwa wateja wa club hiyo, ambapo ni lazima uwe bilionea kuweza kuingia hapo.
   
 2. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,112
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  $700m kwa Club si kweli hiyo ni pesa za Casino za Las Vegas
   
 3. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama sikosei ni Flavio Briatore, Boss wa kampuni ya magari ya Renault, anatokea Torino Mkoa wanakotengeneza Fiat, Eveco, Alfa Romeo na ndege za kivita, alikuwa Boy friend wa Naomi Campbell.
  atakuwa heavy, huyu jamaa ni serious kama ni yeye na alitangaza muda mrefu kidogo kuhusu project hiyo.
  Club kama hizi wala usione wivu kama hutaruhusiwa, wanaletwa ma prince kwa private jets na bilioneas na luxury boats, kesha kila mmoja ataacha japo 5,000,000 dollars kati ya matumizi na kamari ndani ya casino, kwa hiyo hapo tujali maslahi ya nchi tu, kwa hilo mombasa itafanana na Las Vegas, Monte Carlo, Macau, Hong Kong na sehemu zingine nyeti za Dunia, huu mradi uliletwa ZNZ ukakataliwa eti casino ya kamari marfuku kwa Uislamu poleni.
   
 4. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Dah jamani si zingesaidia hata kupata japo pato la hhuko visiwani kusaidia kununua ARV za wale Mashoga wanaongoza kwa Ngoma huko, au wanajisahalisha kuwa huko mashoga ndo wanaongoza kwa kuwa na ngoma, Fikra nyingine bana yaani wameona kucheza kamari ndo dhambi?, wanaudhi sana!!!
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,710
  Trophy Points: 280
  Ni ya jamaa bwenyenye mmoja anahusika na uendeshaji magari ya mashindano ya langa langa. Ni lizungu limeamua kuwekeza, huu mradi uliwahi kupendekezwa kwa mamwinyi wakaukataa, alitaka kuwekeza kama si Pemba itakuwa ni unguja jamaa wakamjia juu na mambo yao ya sheria sijui za kadhi au nini sijui! kenyans are more visionary than ourselves.
   
 6. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,348
  Likes Received: 1,146
  Trophy Points: 280
  Kwani Mombasa ya mapagani?
   
 7. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  mi nnampango wa kujenga walalahoi club,
   
Loading...