Kuna jina halitamkiki Tuzo za Taswa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna jina halitamkiki Tuzo za Taswa

Discussion in 'Sports' started by Bushbaby, Apr 28, 2011.

 1. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Wadau nimepitia site mbalimbali katika list ya majina ya wanamichezo walioteuliwa tuzo za Taswa eti kuna jina halitamkii, ni jina gani? ni raia wa wapi?
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,972
  Likes Received: 724
  Trophy Points: 280
  Ungelitaja basi tuone kama halitamkiki.
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hawajalitaja mkuu sijui ni ishu ya maadili au la coz wanasema kuna jina haliwezi kutamkwa
   
 4. M

  Masuke JF-Expert Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 4,606
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Sasa akishinda watasema aliyeshinda ni yule jina lake halimtamkiki au watamtangazaje?
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Crap.............
   
 6. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ??????????????????
  jamaa alikuwa anaomba kufahamishwa.
   
Loading...