Real Madrid v Barcelona-semifinal UEFA CHAMPIONSHIP

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
Semi-finals , 2nd leg : 3-4 May 2011
3 May 2011
More »
Barcelona 20:45 Real Madrid
Referee: TBD – Stadium: Camp Nou, Barcelona (ESP)
4 May 2011
More »
Man. United 20:45 Schalke
Referee: TBD – Stadium: Old Trafford, Manchester (ENG)
1529208_w6.jpg

guardiola_mourinho_1872517c.jpg
guardiola_mourinho_1872517c.jpg
 
always cc ni mabingwa hao madrid watabaki kuwa uchochoro.
Yeah nakuunga mkono ingawaje timu yangu ni Man u,lakini mtiti wa bacca kwa sasa ni noma hakuna wa kumkaba pale,mesi ndio kabisa hashikiki

ila kwa upande wa man u kazi tunayo kwani wale vijana wa FC Schalke 04 kiukweli wana kamuwa soka,labda siku hiyo wawe na mchecheto la sivyo man u tunaweza kuaga kwa madogo

ki ujumla naisubiri kwa hamu hiyo siku mungu atupe jamani
 
Hawa jamaa mwaka huu watatoana roho...

J',mosi mtiti Bernabeu, wakitoka hap wana game mbili champions then wanakuja kukutana kombe la mfalme....kazi ipo
 
Yeah nakuunga mkono ingawaje timu yangu ni Man u,lakini mtiti wa bacca kwa sasa ni noma hakuna wa kumkaba pale,mesi ndio kabisa hashikiki

ila kwa upande wa man u kazi tunayo kwani wale vijana wa FC Schalke 04 kiukweli wana kamuwa soka,labda siku hiyo wawe na mchecheto la sivyo man u tunaweza kuaga kwa madogo

ki ujumla naisubiri kwa hamu hiyo siku mungu atupe jamani

nani kakuambia shalke 04 ni madogo wakati nao wamechukua hilo cup mwaka 97 kwa hiyo subrini kichapo ka cha inter 7 on aggregate
 
Special one katika stage kama hizi huwa hafanyi makosa. Kipimo mechi ya jumamosi ya la liga. Ngoja niingie kwenye net kwanza nicheck historia ya timu hizi katika UCL, nitarejea
 
always cc ni mabingwa hao madrid watabaki kuwa uchochoro.

kimtazamo tu morinho ni special one afu mzee wakuaribu jumamosi anawapa ligi kwa droo afu champion mnachapa mwendo msifikiri zile 5 ndo mmemaliza we subiri....
 
nani kakuambia shalke 04 ni madogo wakati nao wamechukua hilo cup mwaka 97 kwa hiyo subrini kichapo ka cha inter 7 on aggregate
Schalke 04 hawakuchukua kombe hilo '97, waliolibeba ni Borrusia Dotmund baada ya kumpiga Juventus Turin bao 3 katika fainali.
 
kimtazamo tu morinho ni special one afu mzee wakuaribu jumamosi anawapa ligi kwa droo afu champion mnachapa mwendo msifikiri zile 5 ndo mmemaliza we subiri....
Tusubiri tuone, maana mashabiki wengi wanamuangalia Mourinho badala ya kuzungumzia ubora wa Madrid. Madrid ni timu bora kwa sasa, wako strong sana hawahitaji kujihami kama ndo mbinu ya kuishinda Barca kwa hiyo tunataraji kuona free flowing football kwa pande zote
 
Mimi ni RM, lakini nakubali Barca ni kiboko lakini mara hii tumeshasema, tutapigana mpaka tone la mwisho. Kwanza tuna kisasi cha 5mtungi walichotuchapa msimu uliopita. Na msisahau Schalke kuna damu ya Real Madrid kule, N0º7-Raul González, kwa hiyi Man U watalala tu. Tusubiri tuone.
 
Mimi naogopa hata kucheza kamali kwa timu yangu ya man,kwani wale vijana wanatisha kwa kweli na sina imani kama Ferdnandi atacheza kwani hata mechi ya juzi alikuwa akichenjeguwa
 
Kwa kweli mpaka msimu huu uishe hapo May/June tutakua tumepata burudani ya kipekee...Elclassico takribani 4 zimebaki kwa kipindi cha mwezi mmoja ..sidhani kama imeshawahi kutokea hii..huu ni mwezi wa mavuno kwa industry ya kamari ulaya hususan Spain.... but as usual Mourinho doesnt dissapoint ikifika katika stage kama hizi.....RM all the way to final CL ..ligi tutawaachia ..na kombe la mfalme hatuliachi..kama kuna mtu anabisha ajitokeze hadharani tuweke dau,,.
 
Kucheza kamari ni dhambi pia!!
 
kimtazamo tu morinho ni special one afu mzee wakuaribu jumamosi anawapa ligi kwa droo afu champion mnachapa mwendo msifikiri zile 5 ndo mmemaliza we subiri....

kaka jumamosi usitegemee droo cc Barc tunahtaji tushinde mechi tatu tu,ikiwemo ya jumamosi,kuhusu champion tunakugongeni nje na ndani tena tunaanzia kwenu kudadadeki,alafu beki yenu no 5 hachezi mechi mechi ya kwanza mtatukoma.
 
Kwa kweli mpaka msimu huu uishe hapo May/June tutakua tumepata burudani ya kipekee...Elclassico takribani 4 zimebaki kwa kipindi cha mwezi mmoja ..sidhani kama imeshawahi kutokea hii..huu ni mwezi wa mavuno kwa industry ya kamari ulaya hususan Spain.... but as usual Mourinho doesnt dissapoint ikifika katika stage kama hizi.....RM all the way to final CL ..ligi tutawaachia ..na kombe la mfalme hatuliachi..kama kuna mtu anabisha ajitokeze hadharani tuweke dau,,.

mimi najitokeza barc kwa mechi zilizobaki tunawagonga zote RM hamna kitu.
 
Kwa jinsi ninavyoona RM keshaliachia kombe la la
Liga kwa hiyo leo hata akilose hana cha kupoteza na nionavyo leo Barca atashinda 3-1, CL hapo Morinho ndio target yake atalose mechi ya Camp Nou na kushinda ya home and RM will go to the final to meet Schalke 04 of which Raul will score the winning goal against his old club, na kombe la mfalme of course Barca to win it so in general Barca to win 3 games, two trophies but Madrid to reach the UEFA CL final, MARK MY WORDS...
 
Back
Top Bottom