Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

chelsea oh chelsea what happened to your stamford bridge's supremacy? What wrong with th person u give the captaincy...........?waswahili wanasema"usimcheke mto kabla haujavuka mambo.!" bado man...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hawa jamaa kutoka USSRwalikuwa balaa kwenye mchezo wa chess miaka ya mwisho ya 70 mapaka 80 na 90,sijui wako wapi na mchezo wenyewe naona umefifia.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni dakika ya 3...Yanga 0 : Simba 0 nani atalala mapema leo. ===== Yanga 1 : Simba 0...
3 Reactions
112 Replies
14K Views
Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mshindi wa mechi ya leo kati ya Simba ya Yanga ameshajulikana. Ni Azam FC! Leo hii Simba na Yanga watakapomenyana Uwanja wa Taifa kama kawaida watajaza uwanja mpaka pomoni. Ili kuwahi viti...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Huu sio ubinadamu najua wengi watafurahia lakini ushindi wa man city 6 man u 1 sio ubindamu wafike wakati waanafunga waangalie wanachezea wapi na wachezaji waliopo wako kiwango gani;;ingawa ni...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wakuu leo nimesikitika sana,kuna kipindi nimeangalia ITV cha guiness sport,kuna madogo sijui wametoka wap!maswali marahis wamechemsha,walikua wanashindana na wakenya na waganda!mtu hajui hata jkt...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu habari yenu ebwana mimi kiukweli simkubali kabisa kipa wa manchester united wa sasa david de gea ...... Anafungwa kizembe sana, anatema mipira kizembe sana hajui kupanga mabeki wake wakuu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Jana Serengeti baridi zilikuwa zinashuka taratiiibu huku nikimshuhudia David Sylva akionyesha some worldclass kiwango! Wazee what inauma zaidi kati ya kufungwa 8-2 ugenini tena ukiwa na kikosi cha...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Pengine naweza kuwa sheikh ya hya kwa mechii hii ya jumamosi pale taifa sipendi kusema mengi ila nasema na ntarudia kama oden atabaki kuwa mwamuzi wa simba na yanga ;wachezaji na mashabiki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi huyu jamaa mbona simuelewi kabisa kwanini anajihita Mr Liverpool na alipewa na nani kwa vigezo gani? Halafu mie naona kama ni kujidhalilisha kujiita majina yasiyo na maana isipokuwa utumwa na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Hahahahaaaaaa amezidi kulalamika! Lol!
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kibarua cha kwanza cha Papic ni mechi dhidi ya Simba tarehe 29 October, 2011.
0 Reactions
1 Replies
848 Views
Jaana kuna website nimesoma asbh aliamshwa na mkewe kwa ajili ya chai akamwita Hny come for breakfast aliposhtuka akauliza ""wameongeza lingine tena""""" Mapenzi kweli kizungumkuti mke...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yanga wamekatisha mkataba wa kocha wao Sam Timbe na kumrejesha aliyewahi kuifundisha timu hiyo ya Jangwani Kostadic Papic. source: radio one. My take: Watani wetu isije kuwa mnatafuta...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huyu bwana ni bad boy in nature au matatizo huwa yanamfuata tu kwa bahati mbaya?! Alituhumiwa kuwatupia vitu wachezaji wadogo wa Man City, Giggs kamtuhumu kama pro football palyer anayeongoza kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sergio Busquets - racial slur against Marcelo Hapa Busquets anaonekana anataja neno "MONO" kwa mchezaji wa Madrid Marcelo. Neno hilo ni la kibaguzi nchini Hispania Source>>>>>YouTube -...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom