Juma Seif 'Kijiko' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juma Seif 'Kijiko'

Discussion in 'Sports' started by Ulimakafu, Jul 14, 2011.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mijawapo wa viungo walinivutia sana kwa upande wa Yanga S C kwenye Kagame Castle Cup iliyoisha wiki iliyopita mbali ya Nurdin Bakari ni huyu dogo Kijiko,japo alicheza mechi chache lakini ameonyesha uwezo mkubwa sana,anakuja kuwa nguli na fundi sana akipewa nafasi.
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,085
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  i wish ningekuwa wakala wachezaji fasta tumuuze nje akiendelea bongo ataishia kama wengine tu very sad
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 27, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Namkubali sana huyu dogo,lakini kama inavyoripotiwa kuwa alimuumiza kwa makusudi Kazimoto siku ile ya fainali (japo ilisaidia),litakuwa si jambo la kiuanamichezo.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Aug 5, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Na reward yake ameitwa timu ya taifa-Taifs Stars,anaweza kufika mbali.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Asannte kwa kazi ya leo.
   
 6. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 9,161
  Likes Received: 4,023
  Trophy Points: 280
  Hata leo ametifuaa saana pale kati ni hazina kubwa sana pale dimba la kati!
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,319
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mkali wa ukweli.
   
Loading...