Yanga na simba wamepanga matokeo

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti kavu iwapo Yanga ingefungwa...katika kikao kilichofanyika kabla ya game hiyo viongozi wa Simba na Yanga walipanga kusaidiana ili kulinda maslahi yao kwenye vilabu hivyo vikongwe kwenye soka la Bongo..............kama hii ni kweli je TUTAFIKA?
 
ahaaaaa! siyo rahisi.
 
Kama mechi yenyewe ni kesho jumapili basi kweli wamepanga matokeo. Ya Leo ambayo mnyama kapakatwa haijapangwa hata kidogo. Kama unayoyawaza ni kweli basi simba is the cheapest team ever!
Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti kavu iwapo Yanga ingefungwa...katika kikao kilichofanyika kabla ya game hiyo viongozi wa Simba na Yanga walipanga kusaidiana ili kulinda maslahi yao kwenye vilabu hivyo vikongwe kwenye soka la Bongo..............kama hii ni kweli je TUTAFIKA?
 
Kama kawaida yetu, vilabu hivi havifungani ila kwa hujuma.

Tutafika?
 
yanga afrika!yanga afrika!mabingwa tanzania na afrika mashariki na kati!
aisee hebu mwenye huu wimbo wa kabasele au-upload tuburudike wakuu.
 
Kama kawaida yetu, vilabu hivi havifungani ila kwa hujuma.

Tutafika?

hujuma zp verify, how
mi nachojua mnyama katundikwa kamoja tu. Lakini hebu elezen kwan nyie mlitakaje maana iko wazi ktk mechi yoyote ile kunakufunga, kufungwa ama kwenda sale achezi imani za kishamba na uvivu wa kufikiri au mlitegemea angeshinda tu kwani yeye amekuwa nan ok suppose kama angeshinda mgeongea nn au unadhani alitaka kupoteza mchezo? Ikumbukwe simba ilishaunda kamati kibao tena ndani kukiwa na watu wazito naisitoshe walishajiapiza kutopoteza mchezo hata mmoja hii raundi ya kwanza ili kuweka heshima au mlizan mnacheza na africa lyon mbona wenzetu hapo kenya hawana mambo ya ajabu kiasi hiki mkuu kubali tu matokeo acha kuleta excuse zisizo za msingi. Hata hao wanaohamia azam c vibaya kwan nayo inafungika tu tumeona juzjuz jachapwa na mtibwa have a nice tyme
 
Shabikieni Azam tulete mabadiliko ktk soka, siyo uchwi nw majungu tuuuuuuuuuu!

c vibaya uamuzi ni wako na wamtu yeyote yule maana katiba inasema kila mtu anahaki ya kufanya chochote/maamuzi yoyote alimradi havunji sheria za nchi but kaa ukijua simba itabaki kuwa simba naYANGA itabaki kuwa YANGA nothing could change them walikuwepo watu maarufu sana na wenye fedha ktk hv vilabu wakaondoka na kuviacha kama vilivyo
 
hujuma zp verify, how
mi nachojua mnyama katundikwa kamoja tu. Lakini hebu elezen kwan nyie mlitakaje maana iko wazi .... achezi imani za kishamba na uvivu ....

Kesho wasikilize viongozi wa Simba, wakikubali wamefungwa kihalali basi itakuwa mapinduzi makubwa sana, na hata kama Yanga wengefungwa washabiki au viongozi wangelia lia hujuma!

Afadhali Yondani hayupo, wangemtwisha yeye lawama za kichapo walichopata leo.
 
Back
Top Bottom