Yanayojiri Kutoka uwanja wa taifa,

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Wadau kinachoendelea hapa kwa sasa ni shamrashamra na majigambo ya mashabiki,nimeona mashabiki wa msimbaz wamebeba kitu mfano wa jeneza,kisha lina rangi ya kijan na njano,kisha limeandikwa PAPIC,kingne ni kwamba polis wanatumia mwanya kwenye mechi hii kujinufaisha kwa kudai rushwa,nilpokua getin wakaanza mbwembwe kwa kututishia mbwa,
Kwa upande wa timu bado hazijawasili
 
jamani angalieni wenye vibobo na mikoba.... alshababu hawana utu
 
alshabab hawajafika hapo?

"Eeer.. Naona al shaabab ndio wanaingia uwanjani sasa, wakiwa wamejifunika nyuso zao ili wasitambulike huku wamebeba..eer.. nadhani ni maguruneti yale.. naona pia maroketi kadhaa.. Wanaelekea jukwaa la kushoto kule kujiandaa huku makofi mawili matatu yakisikika.. Eeer..ntaendelea kuwajulisha kinachojiri.."
 
ha ha chelsea 2: arsenal 1,man 1 everton 0, alshabaab waleeee mbele yuko aden lageee naona anamnong'oneza mmoja wao.
 
Uzi huu uendelee kutujuza yanayojiri kwani wengine typo sehemu ambayo redio za bongo hazishiki Ila Airtel tu
 
"Eeer.. Naona al shaabab ndio wanaingia uwanjani sasa, wakiwa wamejifunika nyuso zao ili wasitambulike huku wamebeba..eer.. nadhani ni maguruneti yale.. naona pia maroketi kadhaa.. Wanaelekea jukwaa la kushoto kule kujiandaa huku makofi mawili matatu yakisikika.. Eeer..ntaendelea kuwajulisha kinachojiri.."

Kumbe Alshabab ndio walinzi wa leo?basi hakuna sababu ya kina Mwema kuogopa,ulinzi upo full!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom