Arsenal 5 - 3 chelsea

kwa ulivyoandika ni as if arsenal yuko nyumbani, in fact kamlambisha chelsea nyumbani kwake hivyo isomeke Chelsea 3 - Arsenal 5, Van Persie Hatrick
 
hahahahahah sawa kaka thanx kwa kuniboresha
 
Hahaha!!! Walikuwa wanawachekaa Man U juzi sasa leo zamu yao usitukane mamba kabla haujavuka mto
 
Back
Top Bottom