Waandishi wa habari wa bongo wanakera!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waandishi wa habari wa bongo wanakera!!!

Discussion in 'Sports' started by Mwanagandila, Oct 30, 2011.

 1. Mwanagandila

  Mwanagandila Senior Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 182
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika mechi ya jana uwanja wa taifa kati ya Yanga na Simba nimeshangazwa na ​waandishi wa habari wote kukaa upande wa VIP A sehemu ya kulia mwa uwanja ambayo hutumiwa na washabiki wa Yanga.
  tatizo lililotokea ni kwamba walisababisha watu waliokata tiketi zao kukosa sehemu za kukaa na kuaa kwenye ngazi za kupandia na kushuka huku nafasi zaidi ya 80 zikiwa zimekaliwa na hao waandishi wa habari amabo wanatumia getpass kuingia uwanjani lakini wanakuja kukaa VIP A?
  hii inakella sana, halafu wote wakakaa upande mmoja kwa nini wengine wasingekaa upande wa pili wa simba ili kuweka uwiano sawa????
   
Loading...