Mpira wa miguu ni mchezo mchafu kuliko matusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpira wa miguu ni mchezo mchafu kuliko matusi

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,175
  Likes Received: 5,595
  Trophy Points: 280
  Huu sio ubinadamu
  najua wengi watafurahia lakini ushindi wa man city 6 man u 1
  sio ubindamu wafike wakati waanafunga waangalie wanachezea wapi
  na wachezaji waliopo wako kiwango gani;;ingawa ni fundisho kwa ndugu yangu
  fergy lakini naamini kama akwenda kanisani kuanzia leo ataanza kwenda kanisani
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,461
  Likes Received: 81,711
  Trophy Points: 280
  Mhhhh! Pdidy!
   
 3. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Dah! Aisee hii aibu. Mi nimeamua kuhama timu.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  umehamia TLP kocha wake ni Lyatonga
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  hahahaha! Sasa hivi timu itakayoshinda ndio yangu. Yaani nimeamua kuwa kigeugeu rasmi. Lol.
   
 6. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  uwanja wa old traford full rutuba ya magoli. mechi mbili za manu aseno na mancty
  cheki 8+2+1+6=17. hamna uwanja mwingine duniani wenye mabao mengi hivi.
   
 7. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Mapweza F.C ndio chama langu la kizalendo. Mie sina mpango kabisa wa kuwa mshabiki wa timu za nje ya Tz. Nalog off
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,175
  Likes Received: 5,595
  Trophy Points: 280
  \
  bak we acha tu leo kwi kwi yaani mbaya zaiidi guest tumewaingiza wenyewe oldtrafford
  wakatufanya mbaya aisee kweli usimcheke mtu jamani
   
 9. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  karibu Arsemal leo tumeshinda now tunaganga ya mbele yaliyopita sahau. Ur warmly welcome
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wacha urongo weweeeeeeeeeeeeeeeeeee... mwenge shooting tulimpiga mtu 16 kwa nne
   
 11. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Leo mashabiki wa MAN SIX au MAN U mbona hampokei simu
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Hii week end imekuwa na vituko sana...

  Yaani Barca jana waliponea chupuchupu...

  The Blues wameonjeshwa ka kichapo kadogo...

  Ila hili la Mashetani wekundu ndiyo nimelipenda sana...Ni bonge la lichapo!!

  Yaani malipo ni duniani hapa hapa....Naamini leo Fergy na Rooney wanayaota magoli waliyowazawadia Arsenal wakidhani yangerudi leo yawasaidie...Simply put, Mwosha huoshwa...tena no delays!!
   
 13. ERIC JOSEPH

  ERIC JOSEPH JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  We sio mshabiki bali ni mtapaji huna makazi unafuata upepo huwezi kuhama timu kisa imefungwa ni kawaida.mf ndg yako akipata tatizo utamkata?
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,269
  Likes Received: 22,029
  Trophy Points: 280
  man yuuu nnye ndembendembe
   
 15. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Mmmh!! Hawana ujasiri kwa sasa labda kesho.
   
 16. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  daaa kweli leo ilikua balaa yani since dk ya 87 zikatupiwa kamba 3 aaaaahhhhh pale ndo nikadata zaidi kujumlisha 6
   
 17. Kamkuki

  Kamkuki JF-Expert Member

  #17
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 145
  Hiyo ilikuwa netball maana mchezo mmoja, uwanja uleule na timu mbili magoli 20 yakazalishwa kwa siku moja!!???
   
Loading...