Uhusiano wa riz-1 na okwi ni sababu ya kufungwa simba?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa riz-1 na okwi ni sababu ya kufungwa simba??

Discussion in 'Sports' started by Pdidy, Oct 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  Ndugu zangu wapenzi wa simba
  ni vyema mkasahau yaliopiya kama nduguzetu wa libya walivyomsahau mwenzao gadafi na leo wanahangaika kutengeneza nchi ingawa nassikiliza mtumishimmoja anaitwa td joshua anasema ameona jana watu wakiendelea kupigana bastola na mungu atusaidie

  ndugu zanguni najua leo mmelala kamasio kuamka mkiwa na huzuni lakini ni vyema niweke wazi huu wimbo mliouanzisha kila sehemu ati okwi amewauza,na sababu halisi ni uhusiano wake na mtoto rais riz-1
  sidhani owki alicheza mwenyewe jamani;;ifike sehemu tuwe huru wale wachezaji kuwa na uhusiano na watu wa yanga sio mbaya wale ni bindamu kama wengine..je mnajua anamsaidiaje mpaka mnalalama..na kama mliona ameshindwa kuwafunga yanga kwa nini amemalza dk 90??hamuwoni tatizo ni kwa kocha wenu asiejua ni nani anaitajika na kwa muda gani

  kama okwi angekuwa beki ningekuwa na maneno ya kusema kwa sababu david mwape alianza kumchambua beki mmoja mmoja na kumfwata kaseja na akapewa dosi yake ..sasa sidhani wapendwa kama beki zimechemsha muwanze kumtukana okwi

  mbaya zaidi kitendo cha kipumbavu ambacho okwi amefanyiwa na boban bna mpumbavu mmoja msemaji wa simba kukana leo hiki ni kitendo cha kishenzi na okwi binafsi amepanga kuomba uongozi apumzike simba ili wawe na amani huku akifwata sheria zitaakazomfikisha mvuta bangi boban mahakamani kwa kumshambulia

  ndugu zanguni muda ndio umepita tuangalie mbele okwi huyo ndie alipiga penalt mkakosa ubingwa mkasema leo tena mnachomngangania ninini??si mumwacheni aje yanga ??
   
 2. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  uhusiano wa namna gani au riz-1 kama nepi..
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,546
  Likes Received: 5,755
  Trophy Points: 280
  No mkuu sijafika uko ni marafiki wa karibu wanachosema wao urafiki wao pengine okwi akutaka kumkasirisha riz kama nduguyake wa karibu
   
Loading...