Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa nini TFF hawataki Kampuni iendeshe ligi?

Discussion in 'Sports' started by Reyes, Oct 29, 2011.

 1. R

  Reyes Senior Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 188
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuw nikifwatilia mjadala unaoendelea kati ya vilabu vya ligi kuu vikiongozwa na Geofrey Nyange Kaburu na TFF ambapo vilabu vinataka ligi kuu uendeshwe na kampuni kama FIFA wanavyotaka na kama inavyofanyika katika nchi za Kenya, Uganda, na Ulaya lakini TFF hawataki kwa kuhofia kupoteza Mapato na Deals za kukaa milangoni

  Jana TFF walitangaza Kamati ya kusimamia Ligi kuu wakisema ndivyo ilivyo ujerumani lakini ukweli ni kwamba ujerumani ligi inaongozwa na kampuni inayoitwa DFL Deutsche Fu├čball Liga (GmbH)

  wadau tuchangie mawazo
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  hiyo TFF ni genge la mafia fulani hivi ambao wasingependa kugawana hicho litumbua na watu wengine. Ukiweka kampuni ambayo inajiendesha kimapuni sawasqwa, hakutakuwa na nafasi ya wao (TFF) kuiba maana fedha nyingi zinatokana au zinapitia kwenye ligi
   
 3. M

  Maswalala Senior Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee inamaana we haujajuaga tu bado yaani hao jamaa cjui ndo tiefuefu washaona mambo tayari yashaanza kuharibika i mean vilabu vimefunguka macho kwa maana hiyo hawatapata pa kulia so, wanachojaribu ni kutengenezeana nafasi kwa ajili ya matumbo yao
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  watakula wapi??

  Na ufisadi tulionao, possibility ya fair competition kupata kampuni pia ni ngumu
   
Loading...