Baada ya Yondan na Barthez sasa Okwi nae kumwaga wino in next 72hrs!!

okwi haendi kokote akitoka msimbaz tunamuuza kwenye pesa ndefu ulayaaaa
 
Tunawataka pia!
Tunamtaka na "MAKABURI NA MAHA-RAGE"
Tufanye hivi, kile kikosi chenu kilichopigwa mkono mtupe sisi huku mkichukua wale mnaodhani kwamba bado mnawahitaji, halafu kile kikosi kilichowapiga mkono mchukue huku mkiacha wachezaji ambao mnaona hawana msaada, kile kikosi chenu ambacho hamkitaki sasa tutakiboresha kidogo na wale wabovu wa kwetu mtakaowaacha pamoja na kikosi cha mabingwa wa Uhai timu ya U20 ile iliyocheza na Asante Kotoko tuone kama mtalipa hizo tano.
 
Tufanye hivi, kile kikosi chenu kilichopigwa mkono mtupe sisi huku mkichukua wale mnaodhani kwamba bado mnawahitaji, halafu kile kikosi kilichowapiga mkono mchukue huku mkiacha wachezaji ambao mnaona hawana msaada, kile kikosi chenu ambacho hamkitaki sasa tutakiboresha kidogo na wale wabovu wa kwetu mtakaowaacha na kikosi cha mabingwa wa Uhai timu ya U20 ile iliyocheza na Asante Kotoko tuone kama mtalipa hizo tano.
Ok ngoja nimpigie manji ili nimpe huo ushauri wako mkuu,thx.
 
Basi sisi tutafata kilichowapiga mwaka,haoooooo
Tufanye hivi, kile kikosi chenu kilichopigwa mkono mtupe sisi huku mkichukua wale mnaodhani kwamba bado mnawahitaji, halafu kile kikosi kilichowapiga mkono mchukue huku mkiacha wachezaji ambao mnaona hawana msaada, kile kikosi chenu ambacho hamkitaki sasa tutakiboresha kidogo na wale wabovu wa kwetu mtakaowaacha pamoja na kikosi cha mabingwa wa Uhai timu ya U20 ile iliyocheza na Asante Kotoko tuone kama mtalipa hizo tano.
 
Sure mkuu.
Huyu jamaa atatufaa sana.
Nasikia kisiki wa Twiga star naye kesho anaingia nchini kwa ajili ya kumwaga wino ili kuboresha ngome ya Yanga queens ambayo Manji ana mpango wa kuifufua, ni kweli?
 
Nasikia Yanga wanamtaka na Machaku...Wanadhani zile goli 5 zitarudi kwa kumchukua Okwi, Yondani na Barthez...Njoo muwachukue akina Nyosso, Maftah, Kapombe na sie Simba tunaanza upya kwani bila Simba Okwi mngemuona wapi? Wanaisema yanga ni timu ya Wangese hakukosea nampongeza sana.
 
Back
Top Bottom