Tunakukumbuka muda huu TIDO MHANDO

Mutta

Senior Member
Mar 24, 2011
101
11
Aliyekuwa mkurugenzi TBC Tido alikuwa mpenzi wa Soka.Mechi ya leo TBC Wangeonesha enzi zake.Mshana si mpenzi wa Soka.
 
muta acha kulalamika tumetaka wenyewe elimisheni watu waache kuchagua viongozi kwa mazoea hivi muta kwa nini tusiandamane kwenda kulipua hicho kituo? wakati mwingine nawaza ni heri tupigane ili kila mtu awajibike na tuheshimiane ****** yaooooo..,unyago wanaonyesha,vidukwi,miss wanaonesha.
 
Ni kweli unachosema.Wanatumia kodi zetu kujinenepesha.TIDO kaondelewa kiunazi tu.Mshana hana kitu.Aondoke.Nakumbuka tuliona Taifa na Senegal,Taifa na Msumbiji? MECHI nyinge za nje tuliona.Jamani TIDO.

Tuliona hadi mechi ya kirafiki sijui ya Kombe la Nile kule Misri Taifa Stars na Misri,huyu Mzee wa sasa hivi useless kabisa
 
UKO THAWATHAWA MKUU MAANA TIDO ALIKUA ANAJITAHIDI ILA HUYU JAMAA ANAONA KWAKE YEYE KURUSHA VIPINDI KAMA chereko NI BORA KULIKO KURUSHA MATANGANGAZO YA MPIRA.
 
Jamani,tanzania ni nchi nzuri sana na mahali pazuri pa kuishi,walioshika hatamu katika ngazi mbalimbali za uongozi ndio wanafanya nchi pamoja na vyote vilivyomo kua na hali mbaya.Tumethubutu,Tumeshindwa na Tunasonga mbele.THITHIEM oyeee! Wezi wa rasilimali za nchi oyee!
 
Hao akina Mshana wanawaza kuteuliwa kuwa wakuu wa Wilaya tu, hamna kingine vichwani mwao! Full kujipendekeza na kujikombakomba kwa Chama cha Majangili aka CCM

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Jana niliweka hapa thread,nikitaka kujua kama kuna kituo chochote kitakachorusha mtangazo ya mpira. Euro 2012 pale Poland na Ukraine. Kama Tido angekuwa m1 wa wakurugenzi wa tv's za bongo, mambo yangekuwa live...
 
Mshana hakuna jipya pale yale mazuri aliyoyaacha Tido yote kayaondoa hivi hawaoni tv ya taifa ya uganda UBC inaonyesha mpira karibu yote ya muhimu na kuanzia tarehe 8 june wanaonyesha EURO hivi hawa TBC wanashindwa nini mbona wenzao wanaweza.
 
bado mnaangalia tbc? poleni, najiangalizia ubc na kbc

Ta Kamugisha,ukumbuke kuwa si Watanzania wote wana uwezo wa kuwa KINGAMUZI ili waone UBC na KBC.Hizo kbc na Ubc ni sawa na Tbc,ila MKURUNGENZI wetu hana kipya.
 
Ta Kamugisha,ukumbuke kuwa si Watanzania wote wana uwezo wa kuwa KINGAMUZI ili waone UBC na KBC.Hizo kbc na Ubc ni sawa na Tbc,ila MKURUNGENZI wetu hana kipya.
Umesema kweli kaka ila tangu TIDO aondoke(aliondolewa!) hii TBC ya mshana imekua mbendembende mno yaani hatuoni juhudi za msingi za kukifanya kituo kiwe cha ukweli na uhakika.Angalia hiyo TBC2 ni kujivinjari kutwa nzima,sidhani kama ndo lilikua lengo la TIDO baba mshana ulipewa gunia la sukari umeramba muda sio mrefu utalamba na gunia lenyewe na utalipuliwa soma nembo ya TBS(alama za nyakati)
 
Ni ile midahalo ya wagombea ubunge iliyomuondoa jembe TIDO na kumuweka kibaraka mshana.

TANZANIA inahitaji UKOMBOZI.
 
Vyeo vya kupeana kishikaji ndo athali zake hizo, unatolewa kishikaji pia, chezea ccm wewe
 
Tido anzisha kituo cha tv huko mwananchi communication uliko. Tuna imani na wewe mipira mingi

tutaiona kupitia kituo hicho
 
Back
Top Bottom