Tuzo za taswa 2011 awards

Magu

Senior Member
Jun 13, 2011
156
56
Ndg zangu tuzo hizi zimefana sana, kwa vinywaji hasa bia za serengeti breweries, hadi chakula pia kinatolewa.

Kilichonishangaza yawezekana sikusikia vizuri, nitaomba kufahamishwa kwa ufasaha, nimemsikia Kibonde wakati akitangaza mashindano ya mikono kuwa ANAPATA NGAO NA FEDHA TASLIMU SHS ELFU KUMI, JE NIMESIKIA SAHIHI?

Kama ni kweli huu ni mzaha mkubwa na ndo mana mshindi aliyefuata kwa category hiyo wa kike kutoka magereza ktk kushukuru kaishia kusema asante na kutimua. Hii na kwa sababu category ya football wanapewa milioni moja yeye karuka na elfu kumi. Ajabu sana.

Nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom