Chisora has the tools to upset Klitschko
Dereck Chisora is a huge underdog against Vitali Klitschko, but he's still confident he can upset the odds
Preparing for an upset...
Wakuu mapambano ya awali nda yanaanza sasa hv then baadae tuone mrusi na muingereza nani zaidi maana walizozana sana wakati wanapima uzitoi hawa jamaa juzi!
Hawa ndugu zangu naona wameishiwa kabisha..zamaleki wameshafungua domo kumeza hili kandambili wao wamebakia kutafuta wimbio sijui taarabu gani hata siwaelewi elewi. anzisheni bendi kabisa tujue...
wananchi na wana JF kwa ujumla
Kuna mechi muhimu sana inaendelea katika uwanja wa taifa jijini dar es salaam na mpaka sasa yanga iko mbele kwa bao moja bila.hii ni mechi ya kutafuta klabu...
Ndugu zangu tuweke pembeni tofauti zetu. Mafanikio ya klabu yoyote ni sifa kwa taifa, japokuwa kwa upande fulani itakupain. Tuweke tofauti zetu kwenye vodacom ligi. Mungu zibariki simba na yanga...
Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa...
Jangwani wananishangaza sana na staili yao ya kushangilia ,kuna uhusiano gani kati ya Jangwani na CCM?
heri mimi nitabaki kuwa mshabiki wa Manyema United ...
:lol:
hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo...
Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa?
Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha...
Ikiwa na takribani juma moja limepiti toka ZAMBIA kutangazwa mabingwa wapya wa soccer barani Afrika nadhani sio vibaya tukijikumbusha vipaji vipya vilivyojitokeza wakati wa mashindano haya,mimi...
MSANII wa muziki wa bongo fleva nchini Joseph Haule 'Prof J', amewataka Watanzania kuweka utaifa mbele kwa kuishangilia Yanga katika mchezo wake na Zamelek utakaopigwa Februari leo jioni.
J...
Mpira ndo unakaribia kuanza. leo sijui nani ataibuka mshindi. porto wanaongoza ligi ya kwao. wameshinda mechi tano mfurulizo huku wakiruhusu goli moja tu. manchester city na wao wapo kamili. hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.