Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Leo ni leo. Asemae kesho ni mwongo!
Harambee Stars wanakipiga na Brave Warriors leo huko Windhoek, Namibia, kugombea nafasi ya Kombe la Ulimwengu 2014.
poleni sana, rudini home mtuangalie sisi tutakavyowatungua gambia kesho,njoni mjifunze mpira kwetu sisi watz, acheni kujifanya mnajua kumbe mnafungwa hovyo.
hawa jamaa wamejificha!Leo tumewatungua Gambia vigoli viwili tu...:sick:
hawa jamaa wamejificha!
wengi wa wanachama wao ukiondoa jamaa aitwae kabaridi hawana-nia thabit ya kuendeleza hii sub-forum ya kenya. Hapa na sasa tuna-validate kuwa wengi wao walikuwa kule international forum kwa ajili ya kukashifu wabongo na tanzania kwa ujumla.:sick: