VIVA World Cup - Zanzibar Heroes Yatinga Nusu Fainali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIVA World Cup - Zanzibar Heroes Yatinga Nusu Fainali

Discussion in 'Sports' started by Ilulu, Jun 7, 2012.

 1. Ilulu

  Ilulu Senior Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Mar 22, 2008
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  TIMU ya soka ya Taifa Zanzibar, ‘Zanzibar Heroes', inaongoza katika kundi "B" la michuano ya Kombe la Dunia kwa nchi zisizo wanchama wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa), (VIVA World Cup), inayoendelea huo Iraqi Kurdistan.

  Hii ni baada ya kushinda katika mchezo wa kwanza dhidi ya [​IMG] Raetia kwa mabao 6-0 siku ya tarehe 4 Juni 2012 na kuendeleza ushinda katika mchezo uliochezwa jana tarehe 6 Juni 2012 dhidi ya [​IMG] Tamil Eelam kwa mabao 3-0

  Source: 2012 VIVA World Cup - Wikipedia, the free encyclopedia
  200px-Vivaworldcup2012.png

  UPDATES;
  Hatimaye Zanzibar Heroes yashika nafasi ya Tatu
  [TABLE="class: vevent, width: 100%"]
  [TR]
  [TD="class: summary, width: 15%"]9 June 2012
  16:30 AST
  [/TD]
  [TH="class: vcard attendee, width: 24%"]Provence [​IMG][/TH]
  [TH="width: 13%"]2 - 7[/TH]
  [TH="class: vcard attendee, width: 24%"][​IMG] Zanzibar[/TH]
  [/TR]
  [/TABLE]
  Source: http://en.wikipedia.org/wiki/2012_VIVA_World_Cup
   
 2. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #2
  Jun 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hahaha! Nilichogundua haraka haraka ni kuwa nchi zote hizi zimo katika harakati za kudai uhuru.
   
 3. Anselm

  Anselm JF-Expert Member

  #3
  Jun 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 1,705
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Makubwa....hizo nazo ni nchi,na zinashughulika na hiihii soka tunaoijua wote?,anyway big-up Wazee wa Urojo
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 271
  Trophy Points: 180
  amijeiz kumbe wanapigania uhuru! No wonder hawautaki muungano
   
Loading...