list mpya ya viwango vya soka duniani TANZANIA yazidi kuangukia pua

mbona Zambia wameweza..sis tuna nini wajameni..

Tumekuwa tukifikiri maslahi binafsi kuliko maslahi ya nchi na kwa mtazamo wangu kwa sasa Tz hakuna mzalendo wanchi wote tushawaiga vieongozi wetu kwakuchukua vyetu mapema, kwahiyo kwa sasa Tz kwa ujumla kuendelea ni ngumu sana
 
Nchi za Africa zilizonufaika kwa kupaa kwa kiasi kikubwa kutokana na matokeo ya AFCON 2012 ni: Zambia imekuwa ya 43 kwa kuruka nafasi 28, Mali ya 44 kwa kuruka nafasi 25, Gabon ya 45 kwa kuruka nafasi 46 na Equatorial Guinea ya 110 kwa kuruka nafasi 41
 
wengine wanapaa sisi tuanashuka.ni ajabu kweli.
 
mwanzoni mwa 2015,jk alituaminisha kwamba michezo ni kipaumbele chake,siju ameishia wapi.
 
Back
Top Bottom