AC Milan vs Asernal - UEFA Champions League

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,495
3,458
t-Yh1KoJ_Bam.jpg


Hadi sasa hivi Asernal wameshalizwa goal moja, goli limefungwa dakika ya 15 na Boateng.

Mpira unaonyeshwa ATN

1753317_w2.jpg

photo_1329342087164-1-0.jpg

arsenal-hayward_2140352b.jpg

Looking down: AC Milan players celebrate (left) as Arsenal fear the worst

FULL TIME: AC Milan 4 - 0 Arsenal
 
dk ya 31 ac milan bado inaongoza asernal haijapata kitu.
 
Robinho kafunga goli la pili kwa kichwa dak ya 38.
Ac.Milan 2 - 0 Asernal
 
Ibrohomovic hana lolote bora abadilishwe anawaangusha fowadi wa ac.milan. hayupo kimchezo kabisa.
 
asernal wamemuingiza Henry naona kaongeza nguvu kidogo pale mbele
 
robinho kafunga goli la tatu dak ya 49.
Ac.Milan 3 - 0 Asernal
 
dakika ya 70 Asernal hawajapata kitu.
 
ibrohimovic kaangushwa ndani ya 18. acm wanapata penati
 
Ibrahimovic kafunga.
AC.MILAN 4 - 0 ASERNAL
 
dah! Hii sasa AIBU. Henry bora angetimka ile juzi. Hawa dogo michosho tu.
 
dakika ya 88, acm 4 na ars hawajapata kitu.
 
mpira umemalizika.
AC.MILAN 4 - 0 ASERNAL.
 
Ac milan yaifanyia arsenal kitu mbaya sana,ambacho wa2 walikuwa hawategemei kwa kuipa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0!,mi nasema arsenal ndio bac tena,hana uwezo wa kumfunga bao 5,ktk mechi ya marudiano baada ya wiki 2,hata kama watakuwa kwao,na mnabahati mzee mzima sediof aliumia mapema ingekuwa balaa,bora mi nipo europa,hawa arsenal leo vipi utadhani walikuwa wamelewa!ohoo ac milan wazee haya!kweli Ngoma ya watoto haikeshi.
 
Ac milan yaifanyia arsenal kitu mbaya sana,ambacho wa2 walikuwa hawategemei kwa kuipa kipigo cha mbwa mwizi cha mabao 4-0!,mi nasema arsenal ndio bac tena,hana uwezo wa kumfunga bao 5,ktk mechi ya marudiano baada ya wiki 2,hata kama watakuwa kwao,na mnabahati mzee mzima sediof aliumia mapema ingekuwa balaa,bora mi nipo europa,hawa arsenal leo vipi utadhani walikuwa wamelewa!ohoo ac milan wazee haya!
 
Haaa! Unashangaa nini? Hawa ndio Arsenal, na Thierry Henry wao kaka!. Wamekula za uso 4. Boateng, Zlitan, Robinho katupiamo 2. Poleni Arsenal wote kwa kupewa furushi ilo takatifu na AC milan! Lakin msijali, iyo ndo soka! Nyie wa EUROPA ndogo na wazee wa Furushi, Arsenal tusubiri sisi The Blues: tutawapunguzia machungu!!! Chelsea tutatisha sana UEFA mwaka huu!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom