Simba leo itafanya kweli tu ila yanga mhhhh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Simba leo itafanya kweli tu ila yanga mhhhh!

Discussion in 'Sports' started by King Crazzy, Feb 18, 2012.

 1. K

  King Crazzy Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo ni zile mechi za kimataifa ambazo zitazechwa na vigogo vyetu vya soka hapa nchini Tanzania. Yanga itakuwa nyumbani kucheza na Zamalek ya Misri katika kombe la Klabu Bingwa wakati simba itakuwa ugenini huko Rwanda kucheza na Kiyovu. Eee bwana historia haichezi lakini yanga wacheze kama jihadi vile maana zamaleki ni noma simba ina nafsi ya kufanya kweli lakin nao pia wasibweteke. Nawatakia kila lakheri
   
 2. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Mnyama kwenye mechi za kitaifa wala hapana shaka katika hilo.
   
Loading...