Nataka jezi za zamalek | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nataka jezi za zamalek

Discussion in 'Sports' started by KakaKiiza, Feb 16, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Wakuu kama mdau wa michezo natafuta Jezi ya zamaleki ili nikawashangile vizuri siku yajmosi watakapocheza na YeboYebo!
   
 2. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,253
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  mi ninayo ya Manchester United tu!
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,277
  Likes Received: 19,423
  Trophy Points: 280
  mimi nnayo tayari ya zamaleki japo sipendi waarabu
   
 4. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  huoni aibu?unadidimiza soka la bongo. Halafu mnawapigia kelele TFF.
   
 5. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Umbea unawasumbua. Simba mmezoea kubanduliwa na waarabu sasa mnafikiri na sisi.

  Njooni niwape za Haras el Hadood (Ile mabanduaga nyie mbao tano milah) au za Waydad Casablanca (wale maarab mabandua nyie bila kujali Rage makata rufaa milahi)
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Mnazi wa myama wewe.
   
 7. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #7
  Feb 17, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,123
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  waarabu wanatabia mbaya namashaka na uliyeleta thread hii wanakulipa nin?
   
 8. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,541
  Likes Received: 2,239
  Trophy Points: 280
  Walikutenda nini??dadavua mkuu ueleweke siyo unaonge povu!
   
Loading...