Tbc1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tbc1

Discussion in 'Sports' started by Davies_007, Apr 3, 2011.

 1. D

  Davies_007 Member

  #1
  Apr 3, 2011
  Joined: Apr 22, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani wa kuu Hivi Hii Tv ya Taifa kwa Nini Inashindwa Kuonesha Mipira Ya Kimataifa?
  Gem ya Taifa Star Hawakurusha, na Leo Gem ya Simba hawaoneshi wakati Tv za Kenya na Uganda Huwa Zinaonesha Michezo Yote ya Timu zao za Taifa na Vilabu Vyao
   
 2. C

  Chechinia New Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ingekuwa mambo ya ccm wange onyesha ila siyo mpira
   
Loading...