drogba na torres,kuna nini kati yao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

drogba na torres,kuna nini kati yao

Discussion in 'Sports' started by ngony, Feb 17, 2012.

 1. n

  ngony Senior Member

  #1
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hivi mnajua kuwa drogba na torres hakuna aliyewahi kufunga goli mmoja wapo akiwa akiwa uwanjani. yani drogba hajawah kufunga goli torres akiwa uwanjani, labda atolewe au awe benchi. na hvyo hvyo kwa torres. je wadau wa soka mnaizungumziaje hii
   
 2. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Torres alifunga magoli mangapi wakati Drogba alipokuwa anashiriki ACN?
   
 3. m

  mashambani kwao JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 371
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  torres na drogba ni majoka ya KIBISA
   
Loading...