Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mwanaume mmoja anayekadiliwa kuwa na umri kati ya 20-25 amekutwa amekufa ndani ya nyumba ya kulala wageni(guest)maeneo ya sinza,baada ya kumpekua alikutwa na pasi ya kusafiria ya Nigeria na akiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama unawakumbuka taja majina ya wachezaji hawa
1 Reactions
22 Replies
10K Views
Taarifa za leo kutoka TFF zimethibitisha kwamba katika mechi moja iliyochezwa tarehe wikiendi iliyopita, timu zilizocheza ziliambulia TZS 68,000/= kila moja (USD 42), kati ya TZS 460,000+...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Simba 1 na Moro 0 goli limefungwa dakika ya 16 na Mafisango Azam FC 1 na Mtibwa 1 wafungaji Salum Swedi na Mrisho Ngasa FT Simba 3 na Moro 0 FT Azam FC 1 Na Mtibwa 1 Simba Bingwa...................
2 Reactions
68 Replies
7K Views
Arsenal striker scoops award after an outstanding year for the Gunners that has seen him shoot to the top of the Premeir League scoring charts. The Netherlands international has scored 27...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi jamani hakuna wameru,waarusha, Wairak au watanzania wowowte wanakidhi vigezo vya kushiriki marathon. Kigezo nimesikia mtangazaji akisema ni uwezo wa kukimbia kwa muda wa masaa mawili na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu mr 2 "SUGU" wale virus uliokuwa unascun kule kwnye entertainment kwa mafanikio makubwa, wenginewamekimbilia huku kwenye Soka, * wamejibadilisha *rangi sasa wana rangi nyekundu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Timu ya Newcastle united imezidi kuchanja mbuga kwenye ligi kuu ya uingereza baada ya leo ijumaa kuichapa Swansea city mabao 2 bila na kufanikiwa kufikisha point 56.Mabao yote ya Newcastle united...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Veronica Campbell-Brown has overcome grinding poverty to become one of the greatest Olympians that Jamaica has ever produced. The 29-year-old Jamaican sprinter has had to overcome grinding...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Jinamizi la Hasheem Thabeet kubaki bench imeanza kuwa hadithi baada ya timu mpya kumpa nafasi ya kuwa katika kundi la Starts na hivyo kujiimarisha katika nafasi ambayo inampa uweza wa kudaka...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
yan nawasha mashabiki wa man city,wanaona man utd hawana uwezo wa kuwafunga,bt kumbukeni msimu uliopita goli la rooney lile la tik taka.sasa ndio itakuwa hivyo,kaeni mkijua kuwa man utd ndio...
0 Reactions
1 Replies
941 Views
Huyu alikua mwanamieleka miaka ya 80 pamoja na marehemu power Bernado. Atakua mtu mzima sasa. Yuko wapi sasa?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Fabrice Muamba: 'I ran upfield to try and get on the end of a cross from Martin Petrov on our left wing and as I ran back into midfield I felt very slightly dizzy. 'It wasn't a normal...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Annuncio vobis gaudium magnum! (I announce to u the great joy!) Madrid are the new La liga champions! Hail Mourinho, Master of Tactics, the Special One. Viva Ronaldo viva!
0 Reactions
0 Replies
618 Views
Habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba, kocha wa timu ya Yanga, bwana Papic ametamka kutoifundisha timu hiyo tena akihojiwa baada ya kuifunga Polisi mabao 3 - 1. Habari nazifatilia...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
Korir, Cherop win Boston Marathon titles Men's elite field heads out during the start of the 116th running of the Boston Marathon April 16, 2012 By AFP Posted Monday, April 16...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu sasa nimeshangazwa na propaganda chafu zinazoenezwa na Shaffih Dauda kupitia blog yake pamoja na kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM dhidi ya timu ya Yanga.....Shaffih na wenzake...
1 Reactions
14 Replies
7K Views
PROBABLE LINEUPS BARCELONA Valdes 2. Alves 3. Pique 4. Mascherano 5. Puyol 6. Xavi 7. Busquets 8. Iniesta 9. Fabregas 10. Messi 11. Pedro REAL MADRID Casillas 2. Arbeloa 3.Pepe 4.Ramos...
1 Reactions
96 Replies
7K Views
kocha Mou ameweza kumbamiza pep guadiola 2-1 katika awanja wa camp nou, christiano Ronaldo akitupia Wavu wa pili kwa goli safi la mguu wa kulia,na kutanua wigo wa point toka 4 MPAKA 7.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
WENYEVITI wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Said Hamad El Maamry na Muhiddin Ahmad Ndolanga wameteuliwa kuwa Marais wa heshima wa shirikisho hilo, katika Mkutano Mkuu wa TFF...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…