Hasheem Thabeet bounce back to - Starters

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,883
6,884
Jinamizi la Hasheem Thabeet kubaki bench imeanza kuwa hadithi baada ya timu mpya kumpa nafasi ya kuwa katika kundi la Starts na hivyo kujiimarisha katika nafasi ambayo inampa uweza wa kudaka rebounce kama inavyoonekana katika jedwali hapo chini. Ubora wa uchezaji si kutumbukiza mipira tu, ila kuokoa michomo ya mipira na kudaka rebounce kasi ambayo Hasheem ameiweza na hivyo kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha timu hiyo. Tunamtakia mafanikio na asirudi nyuma kwani analitangaza jina la nchi yetu katika ulimwengu wa michezo.

Kitu kimoja tuelewe ubaguzi wa kikanda katika michezo nchi za ughaibuni upo sana, na mbinu na kukudiscourage kiasi cha kukuweka bench hadi uchujuke. Bahati amepata timu yenye mwalimu ambaye anamjali na kumsaidi.

Angalia timu yake ya awali aliyocheza nayo jana alivyojitahidi kudaka rebounce 8 plus point 3. ni maelendeleo mazuri, Tumpongeze na kumtia moyo.
Portland



StartersPosMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
W. Matthews(notes)G42:347-172-80-001701102216
N. Smith(notes)G35:012-80-24-4-2026300018
H. Thabeet(notes)C19:581-50-01-4-7480110023
L. Babbitt(notes)F41:293-102-62-2-91723200110
J.J. Hickson(notes)F38:219-160-05-7+471314001423

BenchMinFG3PtFT+/-OffRebAstTOStlBSBAPFPts
Totals29-786-2425-31164616157061589
 
...Kila la heri TH...wengi wanamtakia mafanikio huyu kijana na wanampa ushauri mzuri sana wa nini cha kufanya ili apate mafanikio makubwa. Na timu yake ina uwezekano wa kuingia kwenye playoffs ambazo zinaanza wiki chache zijazo...akkiweza kurudia kiwango chake kama alipokuwa college au kusurpass kiwango kile basi ni lazima atapata mkataba mwingine mnono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom