bingwa man utd tu!hakuna mwingine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

bingwa man utd tu!hakuna mwingine

Discussion in 'Sports' started by Gagso, Apr 22, 2012.

 1. G

  Gagso Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yan nawasha mashabiki wa man city,wanaona man utd hawana uwezo wa kuwafunga,bt kumbukeni msimu uliopita goli la rooney lile la tik taka.sasa ndio itakuwa hivyo,kaeni mkijua kuwa man utd ndio bingwa wenu?mtanikumbuka maneno yangu haya?
   
 2. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Haaahaaaa! Japo mie siyo ManC lkn nikuulize kidogo... Vipi moto umezidi?! Maana hata hicho ulichoandika hapo hakieleweki. Unatoa taarifa au unauliza maswali?! Hii si ungeiweka tu kule kwenye sredi yenu? Niliwahi kumuona kocha wenu Furgie anapata kifafa uwanjani! Unakumbuka? Taratibu ndugu usije ukapata brain konkesheni!!!
   
Loading...