Yanga ya mwaka 1994

Yanga ya mwaka 1994

kingfish

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
571
Reaction score
159
Kama unawakumbuka taja majina ya wachezaji hawa
 
Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    183.1 KB · Views: 452
Kwa haraka haraka nimewaona Ken Mkapa, Said Mwamba "Kizota" na Sekilojo Chambua
 
Kuna pia Edibily Lunyamila, Sina uhakika na aliechuchumaa kati ya Kizota na Lunyamila, ila anaweza kuwa James Tungaraza. Ila kulia kwa Chambua ni Saidi Mwaibande "Zimbwe" na nyuma yake atakuwa Salum Kabunda "Ninja". Katikati ya Kabunda na Nemes ni Issa Athuman.
 
Waliochuchumaa wa katikati ni Edibily Jonas Lunyamila, waliosimama kulia kwa nemes ni Method Mogella.

Balantaka njoo haraka tupatie kumbukumbu. hapa.
 
DAH naipenda Yanga LKN haina mafanikio yale ninayoyataka! walisheherekea Miaka sijui 75 lkn hawajawahi hata siku moja kuchukua kikombe chochote cha Africa! aaargh wabongo maneno tuu kibaooo
 
Tungaraza na Zimbwe hata mimi niliwazia hivyo.
 
yanga hamna kutu, ongera AZAM kwa kuchukuna nafasi. Kama wale wazee wa yanga ndio hovyo kabisa, hawana lolote wamezoea ubishi wa kwenye vijiwe vya Ghahawa. oooh yanga itaua mpira wa nchi hiii mpira wenyewe uko wapi?,
 
mkuu hayo yanaingiaje hapa?
 
Kwa haraka haraka nimewaona Ken Mkapa, Said Mwamba "Kizota" na Sekilojo Chambua
KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA:SALUMU KABUNDA a.k.a.NINJA(R.I.P),CONSTANTINE KIMANDA(PROFESSIONAL PLAYER FROM BURUNDI),STEPHEN NEMES,KEN MKAPA,SELEMANI MKATI,WALIOCHUCHUMAA KUTOKA KUSHOTO:NICO BAMBAGA(R.I.P.),SEKILOJO CHAMBUA a.k.a.FOOTBALLER,EDIBILY LUNYAMILA,JAMES TUNGARAZA a.k.a.BOLIZOZO(R.I.P),SAID MWAMBA a.k.a. KIZOTA(R.I.P.)
 
Tungaraza na Zimbwe hata mimi niliwazia hivyo.

KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA:SALUMU KABUNDA a.k.a.NINJA(R.I.P),CONSTANTINE KIMANDA(PROFESSIONAL PLAYER FROM BURUNDI),STEPHEN NEMES,KEN MKAPA,SELEMANI MKATI,WALIOCHUCHUMAA KUTOKA KUSHOTO:NICO BAMBAGA(R.I.P.),SEKILOJO CHAMBUA a.k.a.FOOTBALLER,EDIBILY LUNYAMILA,JAMES TUNGARAZA a.k.a.BOLIZOZO(R.I.P),SAID MWAMBA a.k.a. KIZOTA(R.I.P.)
 
Waliochuchumaa wa katikati ni Edibily Jonas Lunyamila, waliosimama kulia kwa nemes ni Method Mogella.

Balantaka njoo haraka tupatie kumbukumbu. hapa.
KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA:SALUMU KABUNDA a.k.a.NINJA(R.I.P),CONSTANTINE KIMANDA(PROFESSIONAL PLAYER FROM BURUNDI),STEPHEN NEMES,KEN MKAPA,SELEMANI MKATI,WALIOCHUCHUMAA KUTOKA KUSHOTO:NICO BAMBAGA(R.I.P.),SEKILOJO CHAMBUA a.k.a.FOOTBALLER,EDIBILY LUNYAMILA,JAMES TUNGARAZA a.k.a.BOLIZOZO(R.I.P),SAID MWAMBA a.k.a. KIZOTA(R.I.P.)
 
Kuna pia Edibily Lunyamila, Sina uhakika na aliechuchumaa kati ya Kizota na Lunyamila, ila anaweza kuwa James Tungaraza. Ila kulia kwa Chambua ni Saidi Mwaibande "Zimbwe" na nyuma yake atakuwa Salum Kabunda "Ninja". Katikati ya Kabunda na Nemes ni Issa Athuman.
KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA:SALUMU KABUNDA a.k.a.NINJA(R.I.P),CONSTANTINE KIMANDA(PROFESSIONAL PLAYER FROM BURUNDI),STEPHEN NEMES,KEN MKAPA,SELEMANI MKATI,WALIOCHUCHUMAA KUTOKA KUSHOTO:NICO BAMBAGA(R.I.P.),SEKILOJO CHAMBUA a.k.a.FOOTBALLER,EDIBILY LUNYAMILA,JAMES TUNGARAZA a.k.a.BOLIZOZO(R.I.P),SAID MWAMBA a.k.a. KIZOTA(R.I.P.)
 
bila kusahau steven nemes(kipa)

Huyo kwenye red hapo sio Willie Mtendamema/Mtendawema?
 
huyo kwenye red hapo sio willie mtendamema/mtendawema?
hapana huyo ni constantine kimanda aliichezea yanga kwa msimu mmoja mwaka 1994.alikuwa beki namba 5.ni kweli anaelekea kufanana na wily mtendawema.
 
Yule mrundi mwenzake alikuwa anaitwa nani tena? Bamboniyecho?
 
ngandou ramadhan lakini wakati picha hii inapigwa ngandou alikuwa ameshaihama yanga.

Naam ila Yanga ya enzi hiyo iliwahi kuwa na mchezaji mwingine wa huko, nadhani alikuwa anaitwa Bamboniyecho Shundu au kitu kama hicho
 
DAH naipenda Yanga LKN haina mafanikio yale ninayoyataka! walisheherekea Miaka sijui 75 lkn hawajawahi hata siku moja kuchukua kikombe chochote cha Africa! aaargh wabongo maneno tuu kibaooo

Kama Arsenal au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom