Newcastle united yazidi kuchanja mbuga.

Landala

JF-Expert Member
Dec 24, 2010
997
473
Timu ya Newcastle united imezidi kuchanja mbuga kwenye ligi kuu ya uingereza baada ya leo ijumaa kuichapa Swansea city mabao 2 bila na kufanikiwa kufikisha point 56.Mabao yote ya Newcastle united yamefungwa na Papic Cisse.
 
siku hizi Dumb Ba hafungi tena toka Papis Cisse aje?
Anaitwa Demba Ba

Ukimsikiliza Charles Hilal Utapenda Anavyomtamka Papis Demba Cisse! Ameweka Histry kama anavyoweka Messi Maana Papis Demba Cisse keshafunga Magori Tisa katika Mechi Saba tu Alizoichezea Newcastle United Safi Sana Mwafrika..

Naona Newcastle Wanamoto mkali Wanapiga Mbili mbili kwenda Mbele Wanachodai Walipoulizwa kuwa Wanataka Kucheza Champion League Wakadai hawana Haja ila Wanachofanya ni Kushinda kila Mechi Iliyopo Mbele Yao....

Wacha Arsenal auwawe na man City abakishe gepu lililopo la point 2 ... Arsenal Hawafai kucheza Champion League uwezo hawana zaidi ya kuzibia timu zingine tu kama afyanyavyo Liverpool Ovyo Sana hizi Timu Mbili Arsenal na Liverpool
 
Leo jumatatu timu ya Newcastle imezidi kuchanja mbuga baada ya kuifunga bao 2 bila timu ya Bolton,mabao yamefungwa na Hatem Ben Arfa na jingine Papic Cisse.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom