Simba vs Moro, Azam FC vs Mtibwa Sugar

Simba vs Moro, Azam FC vs Mtibwa Sugar

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,760
Simba 1 na Moro 0 goli limefungwa dakika ya 16 na Mafisango
Azam FC 1 na Mtibwa 1 wafungaji Salum Swedi na Mrisho Ngasa
FT Simba 3 na Moro 0
FT Azam FC 1 Na Mtibwa 1



Simba Bingwa...................
 
Napenda Azam wadroo au wafungwe leo
Ilitutangazwe mabigwa maana Yebo yebo wana hasira na sisi mechi ya mwisho itakuwa ngumu sana kwetu kama Azam ataendelea kushinda....
 
Ni haruna Moshi Boban kwa kazi nzuri ya Uhuru selmeani ......Simba 2 na Moro 0
 
He he Umekuja Mkuu crashwise nimetoka kulalamika kwenye uzi wa simba SC kuwa sikuoni. thanks kaka tunakutegemea sana kwa hizi updates, u are great meeeeeeeen.
 
Ni haruna Moshi Boban kwa kazi nzuri ya Uhuru selmeani ......Simba 2 na Moro 0

Leo JD zitashuka kwa amani tena na Azam akidroo au kufungwa ndo furaha itazidi maradufu........Itakuwa wiki ya furaha kubwa sana upande wangu kisoka
 
Hivi nani ana website mpya ya simba ? last time nilisoma mahali kuwa wameingia contract na some professional firm. Hii ya simba.co.tz jana ilikuwa inagoma na imekaa ki-lusinde, lusinde 🙂
 
Back
Top Bottom