Joseph Mbilinyi " SUGU "unahitajika haraka sana kwenye jukwaa la sports! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph Mbilinyi " SUGU "unahitajika haraka sana kwenye jukwaa la sports!

Discussion in 'Sports' started by yahoo, Apr 23, 2012.

 1. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  Ndugu mr 2 "SUGU" wale virus uliokuwa unascun kule kwnye entertainment kwa mafanikio makubwa, wenginewamekimbilia huku kwenye Soka, * wamejibadilisha *rangi sasa wana rangi nyekundu na nyeupe,wantafuna ile mbaya. Wanajifaya wanahabari kumbe wanabomoa tasnia ya soka...ila hawa virus wana hasira zaidi na yanga inaoneka wanataka ife! Kwa hyo ndugu sugu njoo huku utoe msaada kama ulivotoa kule kwenye muzik,tunajua wewe ndo kiboko yao!:help:**
   
 2. ze encyclopedia

  ze encyclopedia JF-Expert Member

  #2
  Apr 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 271
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  wataje kabisa km sugu alivokuwa akiwabemenda live
   
 3. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 23, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  wafu efuemu
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Apr 23, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  napita tu maana yahoo unaona inakufa kabisa timu ulioizoea..
  atakuja tu kuwa scan tff..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...