Kuna uwezekano mkubwa kwamba endapo serikali ingewekeza kikamilifu katika michezo walau ingepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la ajira kwa vijana. Ni ukweli kuwa vijana wengi wana vipaji vya...
Timu ya soka ya Hispania inayoshiriki michuano ya Olimpiki nchini Uingereza,imechezea kichapo cha bao moja kwa bila toka kwa Japan. Ni katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo. Kazi imeanza...
Van Persie departure hint: Gunners release squad numbers - but no shirt for Podolski
Arsenal have announced their squad numbers for the 2012-13 season and although Robin van Persie has retained...
On Sunday the Premier met soccer legends Didier Drogba and Nicholas Anelka in a bid to convince them to open soccer academy in Kenya.
Raila who is on a one week official visit to China met...
Ndugu zangu
Msinishambulie kama mlivyofanya kwa J.Mhagama. Huu ni utani tu kwa furaha ya Simba SC "kulambwa" na Azam FC. Keep cool guys. Chonde chonde msimshambulie Jenesta; maana alikuwa...
Baada ya mpira wa Simba vs Azam kwisha na wachezaji kuelekea kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.
Inaonekana picha ya Mwinyi kazimoto anamuomba maji mzungu mmoja wa Azam afu jamaa kamnyima LIVE...
:spy:Mtangazaji maarufu wa kipindi cha duru za michezo Wapo radio Fm Joseph Mapunda amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi ktk hospitali ya Temeke Juzi. hiyo ni kwa mujibu wa matangazo...
Kutoka kwa mwenyekiti wa simba,
ismael aden rage anadai katunzi mmiliki wa tp mazembe amemwambia kuwa wasaka vipaji wa manchester city wame2mwa kumwinda mbwana samatta ambaye samani yake ni...
Napenda kuwapongeza TFF kwa kuhakikisha mkoa (nchi) Dar Es Salaam soka linakuwa, nasi huku mikoani tunatumia rasilimali tulizo nazo kuendeleza soka vilevile na Inshaala ipo siku tutafikia kiwango...
H
Sebastian Vettel hit out at Lewis Hamilton for unlapping himself during the German Grand Prix in a bizarre incident, calling the McLaren driver's actions "stupid".
Hamilton was a...
Oliech moves to Turkey in Sh200m deal
Harambee Stars captain Dennis Oliech has joined Turkish club Kasimpasar Spor on a three-year lucrative deal worth Sh7 million a month.
Oliech has been...
Nadhani imefika wakati huu jamaa kuachana na ulingo na kujikita ktk mchezo huo kwa nadharia nyingine. Umri umemtupa mkono 'jioni ishaingia' kama watoto wa mjini tusemavyo.. Othwz njaa itamtoa...
Baada ya kaka zao La Roja kutwaa ubingwa wa EURO2012, vijana wa chini ya miaka 19 wametwaa ubingwa wa mwaka huu dhidi ya wapinzani wao Greece.
Kwa habari zaidi, bonyeza HAPA
Huu ni ushindi wa 6...
Kama mwanamichezo na mpenzi wa Yanga naahidi kwa moyo wangu wote kwamba sintakujasikiliza kipindi cha spoti cha Radio One. Sababu: Nilipoteza muda wangu mwingi kusubiri kipindi cha michezo cha...
Timu zetu zinazoshiriki michuano ya Kagame simba, Yanga na Azam bado zimeshindwa kutuonyesha kama zilikuwa
kwenye Maandalizi ya kutosha ya michuano mikubwa ya Afrika Mashariki na Kati na badala...