Ni biashara gani hii?

Ni biashara gani hii?

Jahom

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2008
Posts
351
Reaction score
33
Naomba kufahamu ni biashara gani inayotangazwa kwenye baadhi ya magari yaliyoandikwa "Sports View" ubavuni kwa rangi nyekundu na decorations za blue?
 
Naomba kufahamu ni biashara gani inayotangazwa kwenye baadhi ya magari yaliyoandikwa "Sports View" ubavuni kwa rangi nyekundu na decorations za blue?

Nisaidieni jamani
 
Ni urembo wa magari tu ambao wachina walibuni ili wajipatie kipato. Ukipeleka gari decorations wanakupa options kama utataka kuweka SPORTS VIEW ni hiari yako though utalipia. Siyo Tanzania tu bali mabara ya Africa na Asia ndo mchina katufanya dampo!
 
Back
Top Bottom