bemg
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 2,799
- 644
Kocha wa Azam, Stewart Hall ametoa maelezo ya kuwa wachezaji wa Azam waliosimamishwa walikula rushwa kwenye mechi ya simba na pia mechi ya Yanga.
Alisema kwa sasa hawataongeza mchezaji yeyote mpaka watakapojua hatima ya wale wachezaji wanaodaiwa kuchukua rushwa kwa kuwa suala hilo ni zito.
''Wachezaji hao wamekula rushwa katika mechi ya Simba, wamekula rushwa katika mechi ya Yanga, tumepoteza pointi sita bila sababu,'' alidai Hall.
Nyoso kwa Azam, Owino Simba - Michezo - mwananchi.co.tz