MILAN yapigana,YAFUZU...

VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
5,989
Points
2,000
VUTA-NKUVUTE

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
5,989 2,000
Mabingwa mara saba wa vilabu Barani Ulaya,AC Milan jana walipambana kiume ugenini Uswis na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Anderlech. Milan ilihitaji ushindi ili isonge mbele kwa hatua ya mtoano ya 16 bora. Mabao ya Milan yalipachikwa na Stephan El Shaarawy,Alexis Mexes na Pato. Milan inaungana na Malaga kufuzu kwa hatua hiyo kutoka kundi C.

Wapi Gomba? Njoo tufurahie mnazi wangu...
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,163
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,163 2,000
klabu yenye mafanikio zaidi ulimwenguni yaani AC Milan au Rosonelli au Diavolo hapo jana wameweza kutuma salam kwa mahasidi waliokuwa hawaishi kutwa kucha kutupiga vijembe ati Milan tumechoka...

Sasa limewashuka na wameingia chini ya meza...
Ikicheza kama vile ni mazoezi klabu ya Milan ilitawala soka hilo kwa dakika zoote na kufanya makocha wa timu kubwa barani ulaya kuanza kujamba jamba kwa hofu.
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,859
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,859 2,000

AC Milan sio kama hizi clubs za kipofu kaona mwezi. Ubingwa mara moja
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,859
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,859 2,000
[h=1]Szczesny targets Euro crown[/h]Wojciech Szczesny sees no reason why Arsenal cannot land the UEFA Champions League crown this season.
Last Updated: 22/11/12 at 13:25 Post Comment
Champions League Winner 12/13 Win Outright: ArsenalHuyu bwana mdogo anadai eti Arsenal watachukuaWojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent

Wojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent
The Gunners have yet to get their hands on the most illustrious piece of silverware in European football's trophy cabinet, with a final defeat to Barcelona in 2006 as close as they have come.

Huyu bwana mdogo anadai Arsenal watabeba UEFA champions leage this year!
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,859
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,859 2,000
Mafanikio ya kweli yapo Milan...
Mastaa wa ukweli wamechezea Milan...
Mashabiki wafulukutwa, wafiligiswa mpaka kugalagala tuko Milan.
Kaka sasa hivi utaambiwa madai hayo ni ya ManU.
 
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
9,163
Points
2,000
Gang Chomba

Gang Chomba

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
9,163 2,000
[h=1]Szczesny targets Euro crown[/h]Wojciech Szczesny sees no reason why Arsenal cannot land the UEFA Champions League crown this season.
Last Updated: 22/11/12 at 13:25 Post Comment
Champions League Winner 12/13 Win Outright: ArsenalHuyu bwana mdogo anadai eti Arsenal watachukuaWojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent

Wojciech Szczesny: Believes Arsenal can conquer the continent
The Gunners have yet to get their hands on the most illustrious piece of silverware in European football's trophy cabinet, with a final defeat to Barcelona in 2006 as close as they have come.

Huyu bwana mdogo anadai Arsenal watabeba UEFA champions leage this year!

Ana wazimu huyu ushuzi...
Anafikiri kila timu ni rukhsa kunyanyua ile ndoo eeh?
lile kombe linanyanyuliwa na wachezaji waliokamilika, sio kajamba nani kama yeye
 
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
8,859
Points
2,000
SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Joined Aug 25, 2010
8,859 2,000
Ana wazimu huyu ushuzi...
Anafikiri kila timu ni rukhsa kunyanyua ile ndoo eeh?
lile kombe linanyanyuliwa na wachezaji waliokamilika, sio kajamba nani kama yeye
Ha ha ha!! Watu wa Arsenal watakusulubu
 
Forum statistics

Threads 1,295,850
Members 498,410
Posts 31,225,356
Top