Tushajipatia Point 3 kwa Somalia.
Weweeee??!!!!kwani hawajawahi kutufunga tena hapa hapa nyumbani?,acha kabisa kusema hivyo,na mpaka sasa yenyewe tayari yako Uganda yameweka kambi!!!!!sisi hata harufu ya kambi bado halafu useme tuyafunge!!!!!
Kundi A siyo mchezo.
Somalia itakuwa ni Kenya B tuJamaa hawana hata huruma kwa mgeni (South Sudan)
Kundi la Tanzania ni kundi dhaifu sana, hofu ni kuwa Kili Stars imechaguliwa kwa mizengwe, ingekuwa timu iliyochaguliwa kwa weledi tusingekuwa na hofu ya kusonga mbele. Kama Simba chovu imetoa wachezaji 9, mwendo wa Simba kwa mechi za ugenini ndani ya TZ unafahamika, itakuwaje huko nje ya TZ?
Hebu tuwe makini kwamba haiwezekani pawe na ZANZIBAR na TANZANIA hapo hapo!Kundi A
Uganda
Kenya
Ethiopia
South Sudan
Kundi B
Tanzania
Sudan
Burundi
Somalia
Kundi C
Zanzibar
Rwanda
Malawi
Eritrea