Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Naomba la moyoni niliweke hapa,mzee hebu mpe huyu kijana nafasi na sisi tuone mabadiliko mlangoni,nakwambia hutajuta kwa sababu hatakuangusha wewe wala watanzania kwa ujumla,hili ni ombi tuu kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzee Joseph Mwasokwa amezikwa kwao Kyela watu wengi wamehudhuria akiwemo R.O, mzee Apson,Mwakipesile,Mwambulukutu n.k hayati Mzee Mwasokwa pamoja na kufanya kazi idara ya usalama wa taifa pia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Soka ni mchezo unao pwenda tanzania naweza sema kuliko mchezo mwingine wowote lakini bado mchezo huu wa soka hauwanufainshi vilabu wala wachezaji husika. Mpira una historia ndefu sana...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
CANNAVARO, CHOLLO, SELEMBE, AGGREY MORRIS NA MCHA VIALLI WAFUNGIWA KUCHEZA POPOTE DUNIANI NAHODHA wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ ni miongoni mwa wachezaji 16, waliofungiwa kwa muda...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Alichezea timu gani miaka ya 1990
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Leo sijapata muda wa kupitia media za michezo lakin katika kupitia gazeti la the sun nimekutana na hii habari (CLICK)@ http://t.co/UVDnHi69 ebu nijuzeni.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Barcelona ikiwa uwanjani muda huu kucheza na Cordoba katika mchuano wa Copa del Rey,tayari Lionel Messi ameshafunga goli lake la 87 mwaka huu. Ni bao la dakika ya 11 ya mchezo.Mchezo huo uko...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
This Guy Is Absolutely Incredible - YouTube
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kitendo cha wachezaji wa Zanzibar Heroes iliyoshiriki michuano ya CECAFA huko Uganda na kushika nafasi ya tatu kugawana zawadi kiasi cha dolla 10000,bila kuishirikisha management ni kutokana na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kupokea kichapo,Mama mzazi wa Bondia maarufu Manny Pacquiao amedai kuwa kubadili dini kwa bondia huyo-toka ukatoliki hadi uprotestanti kumemponza.Soma hapa kwa king'eng'e: Everyone has a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa habari toka kwenye Facebook account ya Azam FC na tweeter Yao ni Kuwa mshambuliaji wa Uganda Cranes Brian UMONY ametua Azam ingawa bado hawajaweka ni Mkataba wa muda gani na wa KIASI gani...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
TIMU YA TAIFA YA NETIBOLI YAREJEA KWA KISHINDO BAADA YA KUTWAA UBINGWA WA MICHUANO YA KIMATAIFA Mwenyekiti wa CHANETA, Anna Bayi akiwa Mwenyekiti wa wake za viongozi, Germina Lukuvi mara...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
ngoja nicheke kwanza!!..teh teh teh teh...safi sana mlichokifanya zanzibar heroes,mlikua abandoned sasa mmeng'aa na ushindi wa 3 na fedha juu hyo ni haki yenu na mgawane wnyewe kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanabodi Mambooooooz?? Aliyekuwa Mshambuliaji Mahiri wa Simba Mrisho Ngasa atakuwa akilipwa Mshahara wa Dola 4000 ambayo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 6 za kitanzania kila mwezi na Timu ya...
0 Reactions
43 Replies
19K Views
Miaka 3 iliyopita Haruna Moshi Boban alikuwa nchini Sweden akicheza soka la kulipwa kwenye klabu ya Gefle inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza nchini humo. Muda mfupi baada ya kukaa nchini...
1 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari za kuaminika kutoka Sudani na ndani ya Simba zinasema kuwa klabu ya El-Merreikh imeachana na mpango wa kumchukua mshambuliaji wa Tanzania Mrisho Ngasa! By: Lutfy Binkleb BREAKING...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
By Kevin J Kelley, New York | Nation | Tuesday, October 9 2012 David 'Tosh' Gitongo the Director of 'Nairobi Half Life' movie with some of the cast members during its premiere...
2 Reactions
3 Replies
6K Views
Haya jamani kumekucha na mtanannge wa ngumi karibu utaanza. Kwa wale wenye access ya super sport 2 kupitia ving'amuzi vya Dstv unaweza ukajionea mtanange huu wa kukata na shoka kupitia chanel...
0 Reactions
71 Replies
10K Views
Mpira huu utaanza ifikapo saa tano kamili usiku huu.Tayari timu zinaoneshwa zikijifuafua tayari kwa mpambano wa kukata na shoka.Hadi sasa La Liga Barcelona wapo kileleni wakiwa na pointi 40 baada...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salama wakuu...... Leo ndio siku ya Manchester derby......Game inakaribia kuanza.... Kila la heri mashabiki wa Man City na Man Utd..... Karibuni sana kwa live updates....... UPDATES: 10min...
4 Reactions
209 Replies
14K Views
Back
Top Bottom