REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

REAL MADRID VS GALASATARAY LIVE TO DAY NIGHT 9:45pm

Babchabi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,745
Reaction score
777
Tutakua pamoja leo katika janvi kukuletea update za uefa champions league live kati ya real madrid na galatasaray saa 3 na dakika 45 kwa saa za tanzania usikose ama kwa upande mwengine wa ustream ni hii hapa

Watch Football Online - FromSport - SportLemon.tv
live.PNG
 
Tutaua hawa galatasaray 3-1,goli lao moja litafungwa na Burak Yilmaz.
 
zimebaki dakika 30 mpira kuanza
 
naona hapa real madridi tayari wameshaanza kupasha misuli
 
galatasaray nao wanapasha misuli namuona drogba nae yupo katika kupasha misuli hapa
 
zimebaki dakika kumi na tano mpira kuanza
 
bado dakika tano mpira kuanza
 
tayari timu zote mbili zinaingia uwanjani
 
wimbo wa uefa champions league unaimbwa
 
tayari wanapeeana mikono sasa hivi utaanza
 
wakuu mpira ushaanza dimari kwake ozil
 
kwale varane anmpasia khedira kwake ramos ozil
 
mpira unatoka nje unarushwa kuelekea lango la real madrid
 
ozil anafanya foul hapa n ampira unapigwa kuelekea katka lango la madrid
 
dakika ni ya 8 bao ni bila kwa bila
 
gooooooooooooal dakika ya 9 c.ronaldo anaipatia madrid goli ,la kwanza
 
madrid 1-0 galasataray dakika ni ya 11 drogba anakosa bao
 
Back
Top Bottom