KING COBRA
JF-Expert Member
- Nov 10, 2011
- 2,782
- 876
[h=3]SIMBA NA MALKIA WA NYUKI WAONYESHA UZI WA SUNDERLAND YA ULAYA WATAKAOUTUMIA JUMAPILI DHIDI YA LIBOLO[/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage (kulia), akizungumza na Waandishi wa Habari mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, kuhamasisha mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanjani katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kushoto ni Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos Malkia wa Nyuki.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TD="class: tr-caption, align: center"]Mfadhili wa Simba SC, Rahma AL Kharoos Malkia wa Nyuki (kushoto), akiwa ameshika kwa pamoja na Mwenyekiti wa klabu hiyo, Alhaj Ismail Aden Rage mchana wa leo, makao makuu ya klabu hiyo, Mtaa wa Msimbazi, jezi waliyopewa na klabu ya Sunderland ya England, ambayo wataitumua katika mchezo wa kwanza wa Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Recreativo de Libolo ya Angola keshokutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.[/TD]

[/TD][/TR]