Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,440
- 1,029
Ni baada ya mpira kuisha,mpira mmoja wa thimba thiportisi kilabu ukawa hauonekani.Katika tafuta tafuta,julio akaukuta mpira kwa mchezaji mmoja wa Toto(somebody like samuel suita). Alipotaka kuutwaa kinguvu,mchezaji wa toto akawa ana-resist.Katika mvutano huo ndo mzaramo julio akapewa ngumi ya uso.Julio kwa hasira akachomoa ufunguo wa Coaster ya Toto Africa.