BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,011
Wapendwa kuna mh mmija alikuwa mwenyekiti wa simba mh hassan dalali ambae aliondolewa kwa kigezo cha shule;baada ya hapo mzee dalali alianza darasa lka firm one na naamini amemaliza mwakajana kwa mnaojua amefaulu hata div 4;maanaa kigezo cha kugombania sijui umefika form 4 ama umefaulu form 4;namwoina dalali akirudi simba tena soon kama mwenyekiti na form 4 yake ;nilijua rage na elimuyake ataongoza kwa heshma loh mbululu mbulula