mahakama ya kazi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 1,520
- 245
Mchezaji wa Barcelona ya Hispania,Lionel Messi ameweka rekodi kwenye ligi kuu Hispania kwa kufunga mfululizo mechi 19.Kwa maana hiyo amezifunga timu zote 19 zinazoshiriki ligi kuu,baada ya mwishoni mwa wiki kufunga goli moja kati ya magoli mawili wakati Barcelona ilipotoka 2-2 na Celta Vigo.Du huyu jamaa anataka kuweka rekodi kibao duniani.kweli huyu mchezaji wa sayari nyingine.